Makapuku Forum

Mapenzi bwanaa...

Yanazaliwaa hayatengenezwiiii...

Huoni ya obe na mama mchuchu mwaka wote utafikir anachukua phd kwake
 
mimi nimeshaolewa ni mke wa mtu anaitwa lee empire halaf mitala mimi siiwezi yaan nijue tu unachepuka ila nisijue unaochepuka nao sawa mkuu kila la kheri na wake zako wa 4
sawa utakuwa mtu wangu wa kunisaidia kunitafutia huko kitaa wanawake wakuoa au sio?
lakini ni bora hii kuoa 4 mke unajua mume wako yupo wapi saa hzii kuliko kua pekeyako halafu ukawa una wasiwasi mume wako akaparamia wanawake kila aina .na mwisho wa siku akakuletea magonjwa
 
..uongeze wafike wangapi sasa mjomba wangu mfalme mswati? Kwenye hiace hawatoshi maana zimepigwa marufuku mjini, labda costa na mbagala siku hizi kuna uda, au unataka uongeze wajae kwenye mwendokasi wakati hayafiki kigamboni?
Na mmi ntasema yako apa yote walaaaiiii...

Kuwa na moyo wa huruma ushaambiwaa na aunt
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…