Zamani ndo palikuwa pachafu
Ya kisha mara na tu wa
Now kupo poa tu tunaenda kupunga upepo huko na mademu zetu ila samtaimu hasa kipindi cha mvua kuna harufu mbaya balaa
.....
Ombi naomba mnambie hii segment tuiitejee mwendo wa mapicha nina stock ya kutoshaa ...sijui hiwe fix za lee /upuuziii extended au pita pita ya lee ...kapuku raha sana aiseeeeh ..