BwanabwaaaaanaaaahSi unajua tena Lee kuamua ugomvi wa wanawake....... Huku unaamua huku boxer imetuna.ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Ni kweli. Ni hiyo avatar yako na jinsi ulivyo simple na kucheka na kila mtu. Ukijumlisha na wivu wa mumeo basi ni shida tupu japo ni kweli wakati mwingine utani unavuka mipaka. Unapendwa!shunie amewakaa mdomoni bila kumtaja hawawezi pata comments nyingi
Ongeza mama kipenziii ...kwanza mtupio wa leo sio wa dar hiiEti najilipia! Pesa ni za Lee.
Bhinamu ndo maana dada alitangulia kuzaliwa ...unajuaa bhinam leo mamaa demi kakufanya uwe mpole hupepesiii macho na wahudumu wa leo siwaelewiiii ...ila yote sawa tutafikaa ndo tujue nan anamsindikizaa ...mm nshaaga nalala kwakooHa hahahhaha, ankal bhana, ujue Shunie anavumilia mengi sana maana wewe kila moja ni mbili na mbili ni moja ilmradi tu umiliki hadi tatu huku nne na tano ukiniachia mpwao nijishindie. Mambo ya ukoo haya.
demi nimemuona, kagonga tusker na redds, duh yaani ni kama jiko la shamba hachagui kinywaji. Kwa kuwa anajilipia wacha anywe nitamsindikiza.
BTW ana jina zuri sana
Mimi ndo nimemwambia atinge kiminiiii upooo ??Haumo vipi na were ndio chanzo. Kajuaje kama unacho kimini?
Halafu kwenye gari utakaaje? Kimini kikipanda juu zaidi itakuwaje?Demiii demi wewe!
Beer hazikopeshi.
Nawe pia mkuu Shululu ubarikiweUsiku mwema makapuku wote
BARAKA ZA BWANA
HESABU 6
24.BWANA akubarikie na kukulinda.
25.BWANA akuangazie nuru za uso wake na kukufadhili.
26.BWANA akuinulie uso wake na kukupa amani.
USIKU MWEMA WAPENDWA MAKAPUKU WENZANGU, MBARIKIWE
Na kwako piaUsiku mwema makapuku wote
Asante sana Obe UbarikiweSafari na Muziki
Ni usiku sasa hapa kwetu, lakini JF na hasa Makapuku ni kama himaya ya Muingereza enzi hizo. Unaweza kuta saa hizi ni saa sita mchana sehemu fulani na wote tumo humu humu Makapuku.
Jukwani humu leo kama tulivyoona kulikuwa na vioja, well, kuna kutukanana na sababu, lakini kama mtu anakuja tu anaanza kutukana basi ukimtukana utakuwa umempa heshima. Ila kwa namna tulivyowaaacha tumeonesha kweli humu si mahali pa mchezo mchezo. Asante kwetu.
Furahiday kama kawaida, siongei sana maana sichelewi kuandika yale ninayopenda kiukweli, In vino veritas, (kwenye mvinyo, kuna ukweli). Na maongezi mazuri ni pale mnapoongea wote lock zimeactivatiwa kiweekend.
Tumwangalie mpiga gitaa na muimbaji mzuri wa kiingereza Michael David Rosenberg almaarufu Passenger, mshindi wa Tuzo za Brit Award kwa wimbo 'Let Her Go'.
hebu burudika wakati naangalie utaratibu wa namna gani nitaondoka hapa maana sipaelewi elewi hapa nilipokaa.
Nikutakie wikend Njema sana na sitochoka kukwambia, Wewe ni Mtu Muhimu Sana Hapa Makapuku Forum. LLL
Nimemwangalia Passenger naye nimeona ana vidole sita au well, sijahesabu sawasawa. Wakati wenzangu wanaenda na visoda kufundishwa kuhesabu mimi nilikuwa nachunga tu mbuzi
Nimeshakaribia na tuko pamojaHongera sana kwa kuhitimu masomo my dear, karibu tuijenge nchi yetu.
Shukrani, hata Oprah pia sikuwa najuaNdo kuanzia leo ujue hivyo
Uwe unamwangalia miguuni km yupo peku au kavaa viatu vya wazi utaona vidole chake 6 bila tatizo
.....
Eti najilipia! Pesa ni za Lee.
T G I FSafari na Muziki
Ni usiku sasa hapa kwetu, lakini JF na hasa Makapuku ni kama himaya ya Muingereza enzi hizo. Unaweza kuta saa hizi ni saa sita mchana sehemu fulani na wote tumo humu humu Makapuku.
Jukwani humu leo kama tulivyoona kulikuwa na vioja, well, kuna kutukanana na sababu, lakini kama mtu anakuja tu anaanza kutukana basi ukimtukana utakuwa umempa heshima. Ila kwa namna tulivyowaaacha tumeonesha kweli humu si mahali pa mchezo mchezo. Asante kwetu.
Furahiday kama kawaida, siongei sana maana sichelewi kuandika yale ninayopenda kiukweli, In vino veritas, (kwenye mvinyo, kuna ukweli). Na maongezi mazuri ni pale mnapoongea wote lock zimeactivatiwa kiweekend.
Tumwangalie mpiga gitaa na muimbaji mzuri wa kiingereza Michael David Rosenberg almaarufu Passenger, mshindi wa Tuzo za Brit Award kwa wimbo 'Let Her Go'.
hebu burudika wakati naangalie utaratibu wa namna gani nitaondoka hapa maana sipaelewi elewi hapa nilipokaa.
Nikutakie wikend Njema sana na sitochoka kukwambia, Wewe ni Mtu Muhimu Sana Hapa Makapuku Forum. LLL
Nimemwangalia Passenger naye nimeona ana vidole sita au well, sijahesabu sawasawa. Wakati wenzangu wanaenda na visoda kufundishwa kuhesabu mimi nilikuwa nachunga tu mbuzi
Usiku mwema makapuku wote