Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,885
- 31,672
Mambo gani hayo ya kijinga?Jiheshimu mkuu uku hatunaga mambo ya kijinga kama unayotaka kuletaa
Usiqoute tena mkuu..Kama kichwa maji ni wewe hilo mimi halinihusu
Tuko pamojaAsante mkuu
Ndo maana nakuzimikiaanimeshampuuza mda huwa simjibu toka ban ya mwisho ile aliyonisababishia mpaka nikapewa life ban
achana nae babyJiheshimu mkuu uku hatunaga mambo ya kijinga kama unayotaka kuletaa
Shunie..nimeshampuuza mda huwa simjibu toka ban ya mwisho ile aliyonisababishia mpaka nikapewa life ban
Acha ufala jiheshimuMambo gani hayo ya kijinga?
Nimemsalimu demu wangu shunista wewe kimekuuma nini?
Namjua shunista nje ya JF sio wewe unayeishia kumuona humu tu.
Lee..Ndo maana nakuzimikiaa
Naona anajifanya yeye ndo yeye ...nisamehe ngoja nimsome mpaka mwisho anachokitaka atakipataachana nae baby
Mwache ajiqoute mwenyewe.Naona anajifanya yeye ndo yeye ...nisamehe ngoja nimsome mpaka mwisho anachokitaka atakipata
Got u my btother ....leta story kiongoziiLee..
Simple mathematics..
Usishindane na mpuuzi.
Usicomment lolote kuhusu yeye..
Mwache achati mwenyewe..
Simple tuu
Niko town mkuu..Got u my btother ....leta story kiongozii
Ooooh ebhu na wew rudiii porin bwanaa kuna raha yake ukitoka watoto lazima wachekelee japo sio kazi ndogoNiko town mkuu..
Harakati za pori hadi mwezi july..
Mndali sijui yuko wapii na yeyeWewe jamaa..
Mkubhi mboga mboga yuko wapi?
Hahaaaa!Ooooh ebhu na wew rudiii porin bwanaa kuna raha yake ukitoka watoto lazima wachekelee japo sio kazi ndogo
Ahaaaaaha piga mwaka mzeeyaaaa uandikwe kwenye historiaHahaaaa!
Pori langu ni simple tuu..one week tuu.