Basi shem..unicharue ili iweje sipendi jaman sio kuzoeana iwe shida acha nibadilike kidogo mniseme nina ringa naona mazoea yana shida
nataka nibadilike kidogo sitaki kucheka cheka na watu hovyo ili waseme kabisa ninaringaNani kasema unaringa ??
Kabla.sijaondoka.JF naomba.mademu zangu wote tukutane hapaunicharue ili iweje sipendi jaman sio kuzoeana iwe shida acha nibadilike kidogo mniseme nina ringa naona mazoea yana shida
Aiseeeeeh ....nataka nibadilike kidogo sitaki kucheka cheka na watu hovyo ili waseme kabisa ninaringa
nilishamsemehe T ila afikilie na vitu vya kumtania mtuBasi shem..
Msamehe bhana! Lets be family lakini mondray keshajua hupendi huo utani.
Yaishe mama.
Mchumbaaaaaaaaaaaaa.nilishamsemehe T ila afikilie na vitu vya kumtania mtu
nimeisoma huyo si yule HR id yake hii imepigwa ban ya mwaka anatumia id yake ya pili
Ujumbe umemfikianilishamsemehe T ila afikilie na vitu vya kumtania mtu
Huku umekosea njia mdogo wangu..Mchumbaaaaaaaaaaaaa.
Una uhakika gani kama imepigwa ban ya mwaka?nimeisoma huyo si yule HR id yake hii imepigwa ban ya mwaka anatumia id yake ya pili
Sijui niingilie katii ...haukumbuki sudan ulichinja wangapi ??Huku umekosea njia mdogo wangu..
Jf itakushida sasa..
Naona kakufata uku ila mpuuze labda kama na wewe unataka life ban ...nimeisoma huyo si yule HR id yake hii imepigwa ban ya mwaka anatumia id yake ya pili
Jiheshimu mkuu uku hatunaga mambo ya kijinga kama unayotaka kuletaaUna uhakika gani kama imepigwa ban ya mwaka?
Asante mkuuVIETNAM
View attachment 518000
Baiskeli ikiwa imeegeshwa kando huku ikiwa imebeba vikapu vikubwa
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Nakutakieni mchana mwema na Ijumaa tulivu
Jichunge pia cheza salama.
Namuonaa akikushinda niachiee kama ustaarabu unanunuliwa ntakopaaMkuu kuwa mstaarabu...
Mimi ni kichwa maji mara 100000000 yako ..
Heshimu watu wakikuheshimu
nimeshampuuza mda huwa simjibu toka ban ya mwisho ile aliyonisababishia mpaka nikapewa life banNaona kakufata uku ila mpuuze labda kama na wewe unataka life ban ...
Achana nae