Mambo vipi Mkuu! Nasikia unataka kufanya mapinduzi, binafsi kwa sasa nimeweka siraha chini lakini hii haimaanishi kuwa nimejisalisha! La hasha, najiandaa kufanya mapinduzi makubwa.
1962 - Kombe la Dunia mwaka 1962 nchini Chile: Katika mechi ya Chile na Italy Polisi walilazimika kuingia ndani ya uwanja mara kadhaa ili kutuliza vurugu za wachezaji.
Hiyo ni moja kati ya mechi zilizojaa utemi na vurugu kubwa ambapo wachezaji wa Italy walikuwa wanalalamika refa kuwabeba Wenyeji Chile.
Mambo vipi Mkuu! Nasikia unataka kufanya mapinduzi, binafsi kwa sasa nimeweka siraha chini lakini hii haimaanishi kuwa nimejisalisha! La hasha, najiandaa kufanya mapinduzi makubwa.
Mwenyewe sikuwahi kuwa na imani na Kawemba! Kitendo cha kumtimua mwingereza na kuleta Waspain ndo kinaifanya Azam ikose uwakilishi wowote kimataifa msimu ujao!