Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Pole mdau nimechelewa kujibu, hizi lugha za kibantu raha tupu, makingilima ni asubuhi sana/alfajiri na mahungumila ni jioni sana kabla ya usiku/machweo (kuna mawio na machweo, right?
Uko poa lakini?
Nalala sasa
mkuu obe ni obe ni lugha gn hiyoo?!MorningGoodmorning wanafamilia wote ....siku njema uonekana mapema upande wangu imekaa powaaa na i hope wote iko poa ....
Soon tuone UF
Nzuri, za wewe ipogoloHabari za asubuhi kapukuzi?
Nzuri mkuu shululu. Naona furahidei(Friday) imeanza.Nzuri, za wewe ipogolo
AsanteWishing all the best ....
But ....![]()
Ni poa tuHabari za asubuhi kapukuzi?
Vp link unajua sasa hv wangine tunaingia ww unalala..
Ooo mpendwa obe nijibu sasamkuu, kweli mimi mkuu😵