Hahaha hata wayahudi walitaka kuhamia Uganda mkuu. Kungekuwa na kanchi cha weupe katikati ya weusi.Kwa hiyo wanataka kutoka Brussels kuja Nairobi! Maajabu yapo duniani. Nairobi kuna kipi haswa kilichowavutia hambacho hakipo Brussels?
Wahamie hata Darfur ni uamuzi wao.Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania
Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini
Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla
Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Huwa hivyo kila jambo ambalo lipo tofaut na serikali wengi huwa hawaamini nakwambia ukweli wazungu wengi nnaofanya nao kazi wanasepa kama huwaamini endelea kubisha na darasa lako kisha jiwe aje aseme kama ukusanywaji wa mapato ya kisaniii ukweli haujifich kwa akili yako nilete hili kwa lengo gani? Hizo hisia zangu zinasaidia nini au nafaidika na nini? Jipe moyo
Hivi hali ya hewa ya Dar ni nzuri kuliko ya Dodoma..!Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania
Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini
Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla
Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Akili za kuku hizi yaani mjinga gani akitume jf? Utakuwa mpumbavu kama kabudi