Tetesi: Makao makuu ya EU kuhamia Kenya

Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania

Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini

Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla

Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Wahamie hata Darfur ni uamuzi wao.
 
Huwa hivyo kila jambo ambalo lipo tofaut na serikali wengi huwa hawaamini nakwambia ukweli wazungu wengi nnaofanya nao kazi wanasepa kama huwaamini endelea kubisha na darasa lako kisha jiwe aje aseme kama ukusanywaji wa mapato ya kisaniii ukweli haujifich kwa akili yako nilete hili kwa lengo gani? Hizo hisia zangu zinasaidia nini au nafaidika na nini? Jipe moyo

Ahaaa haaa haaa
bro usinishambulie BINAFSI. mimi nimejaribu tu kuuliza tu swali. lkn bado hujanijibu, umeendelea tu kutoa hisia ZAKO na vitisho.
 
Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania

Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini

Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla

Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Hivi hali ya hewa ya Dar ni nzuri kuliko ya Dodoma..!
 
Sasa wazungu hawakutak dodoma na hali yao labda ww kunakufaa wao washaangalia vitu kibao wameona hakuna maana wameanza kurud kwao
 
Wazungu wanaipenda Kenya Kwa sababu wanasujudiwa huko Nairobi wanadhani tutakubali upuuzi wa EPA waondoke tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom