Tetesi: Makao makuu ya EU kuhamia Kenya

eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
7,658
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
7,658 2,000
Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania

Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini

Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla

Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Ahaaa haaa haaa
bro katika jukwaa hili, huwa kitu chochote kinacholetwa na mtu awaye yote, lazima kiwe na evidence au CHANZO from credible authority or source.
Kwa hiki kitu ulicholeta, sisi ambao tumekaa madarasani muda mrefu tunaona ni kama HISIA AU MTAZAMO NA SI UHALISIA.
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
5,509
Points
2,000
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
5,509 2,000
Hata ukusanywaji wa mapato yalikuwa hivyo hivyo kwa waliopinga mwisho wa siku jiwe kasema ukweli hii kitu ipo na haikwepek serikali ya tz ina msuguano na EU
Sasa hapo si unakubalina na hoja yangu kwamba watu walikuwa wanakuza mambo yaani mfano hizo 'takwimu za mapato'?
**Kama upo sahihi kuhusu mapato.

Wewe pia unakuza jambo. Hao wakihamishia Nairobi ofisi zao hakutakuwa na tarizo kubwa kiasi hicho.

Wafanyakazi wao hapo ofisini kwao Dar sio wengi hivyo.

Kukiwa na jambo la kidiplomasia au kiofisi watu wataenda tu hapo Nairobi.
 
radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
17,395
Points
2,000
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
17,395 2,000
Ahaaa haaa haaa
bro katika jukwaa hili, huwa kitu chochote kinacholetwa na mtu awaye yote, lazima kiwe na evidence au CHANZO from credible authority or source.
Kwa hiki kitu ulicholeta, sisi ambao tumekaa madarasani muda mrefu tunaona ni kama HISIA AU MTAZAMO NA SI UHALISIA.
Huwa hivyo kila jambo ambalo lipo tofaut na serikali wengi huwa hawaamini nakwambia ukweli wazungu wengi nnaofanya nao kazi wanasepa kama huwaamini endelea kubisha na darasa lako kisha jiwe aje aseme kama ukusanywaji wa mapato ya kisaniii ukweli haujifich kwa akili yako nilete hili kwa lengo gani? Hizo hisia zangu zinasaidia nini au nafaidika na nini? Jipe moyo
 
SueIsmael

SueIsmael

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Messages
443
Points
1,000
SueIsmael

SueIsmael

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2013
443 1,000
Halafu kama kuna wanaofanya kazi Sudan, Somalia, Afghanistan, nk ambako kuna hali tete za kiusalama, ndio useme washindwe kwenda Dodoma kwasababu ya hali ya hewa?! Huyo mzungu uliozungumza naye kakuingiza chaka sana.
 
radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
17,395
Points
2,000
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
17,395 2,000
Huwa hivyo kila jambo ambalo lipo tofaut na serikali wengi huwa hawaamini nakwambia ukweli wazungu wengi nnaofanya nao kazi wanasepa kama huwaamini endelea kubisha na darasa lako kisha jiwe aje aseme kama ukusanywaji wa mapato ya kisaniii ukweli haujifich kwa akili yako nilete hili kwa lengo gani? Hizo hisia zangu zinasaidia nini au nafaidika na nini? Jipe moyo
Hapa hapa tu kuna waafrika wenzio hawawez kuish sinza au mwananyamala wanakaa masaki unabisha?
 
M

Mwananchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
2,587
Points
2,000
M

Mwananchi

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2012
2,587 2,000
Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania

Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini

Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla

Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Kwani Makao makuu ya EU yalikuwa wapi. Au unamanisha Office za EU Tanzania? Au unamanisha Office za EU katika Africa zilikuwa Tanzania sasa wanazihamishia Kenya? Au unamanisha Office za EU hapa Tanzania wanazifunga? Tueleweshe tusiojua
 
radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
17,395
Points
2,000
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
17,395 2,000
Kwani Makao makuu ya EU yalikuwa wapi. Au unamanisha Office za EU Tanzania? Au unamanisha Office za EU katika Africa zilikuwa Tanzania sasa wanazihamishia Kenya? Au unamanisha Office za EU hapa Tanzania wanazifunga? Tueleweshe tusiojua
Office za EU kwa hapa tz wanaweza kuhamia kenya kama mambo yataendelea kuwa ya hovyo
 
J

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Messages
250
Points
250
J

Jocasta

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2014
250 250
Kwani Makao makuu ya EU yalikuwa wapi. Au unamanisha Office za EU Tanzania? Au unamanisha Office za EU katika Africa zilikuwa Tanzania sasa wanazihamishia Kenya? Au unamanisha Office za EU hapa Tanzania wanazifunga? Tueleweshe tusiojua
Hata yy hajui
 
Forum statistics

Threads 1,303,748
Members 501,127
Posts 31,491,288
Top