mkuu naona mnakimbizana na muda bila mafanikio.
7+ years imeyeyuka, sasa bado miwili na ushehe, naona sasa mnafosi kingi.
nawatakia heri, japo hamtafanikiwa.
Mkuu mapambano hayana kikomo vizazi vyetu navyo vitaendeleza mapambano mpaka kitaeleweka.
MAMBO Mengine yanaboa kulalamika MOU au kuwa serikali haijashidwa hivi unajua kuwa hospitali nyingi za rufaa ni za taasisi za dini mfano BUgando kanda ya ziwa na KCMC hivi ikiwa serikali kujenga mbona imeshinwamakanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.
Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.
Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.
Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.
Kuishia kulaumu waislam sio suluhisho, makanisa yajitoe kwenye MOU na yasiingilie mambo ya waislam kama walivyofanya kwenye tamko lao la leo walipozungumzia suala la mwinyi kupigwa kofi au kugomea sensa.
hata sisi tuna vizazi mkuu.
Jamani mleta HOJA hii ameileta kwa mtego, lakini mimi nasema kuwa " DINI ZETU ZIJITAHIDI KUWASOMESHA WAHUBIRI WETU ELIMU DUNIA YA KUTOSHA ILI WAO KUJITAMBUA NA PIA KUWATAMBUA WAUMINI WAO NA MAZINGIRA YAO".
Mimi na Mkristo lakini nimehudumiwa katika Hospitali za Kiislamu na Kikristo pia. Nilienda pale Al Farouk Dispensary Tabata shule nikapimwa na kupewa ushauri nienda Madona Dispensary Tabata Relini ili nipige picha ya X-Ray kifuani na baada ya kupata majibu nikayapeleka Al Farouk nikashauriwa niende kituo cha Afya cha Malcela Tabata ili kupata huduma stahiki na namshukuru Mungu na sehemu zote husika maana nilipona.
Sasa kwa mtirirko huo ni wapi MoU ina tatizo?.
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu hawapati msaada wowote na hiyo MoU tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa ada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana...hiyo MoU hata waivuje leo sawa tu aina faida kwa Waislam. tutaenda Aga Khan, TMJ, Hindu, Regence, kwa pesa zetu.
tupe source mkuu.
Maana yangu vizazi vyetu vitapambana na vizazi vyenu kama tusipo acha misingi mizuri.
Mkuu, mimi mwenyewe naunga mkono kuvunja MOU kwa sababu ya usalama wa nchi yetu lakini sio kweli kwamba kanisa haliwezi kujiendesha sidhani kama hiyo ndio dhamira ya malalamiko ya waislamu. Mimi nadhani hoja hapo ni kwamba MOU imeleta malalamiko na kama ingekuwa na faida hata waislamu wangeomba MOU serikalini ( Rejea hotuba ya Rais KIKWETE siku ya IDD akisema kwa kinywa chake kuwasihi waislamu wapeleke maombi) ingawa hadi sasa taasisi za aghakan zina MOU na serikali.
Kabla ya uhuru na hata kabla ya MOU kanisa lilikuwa na shule na hospitali kama ilivyokuwa kwa waislamu liliendesha kwa fedha za sadaka, zaka, harambee, mavuno, minada, maduka ya kanisa na maegesho ya magari inayofanyika makanisani kwa ajili ya shughuli zote za maendeleo ya kanisa.
Kuhusu posho za madaktari inategemea MOU ilikuwa na makubaliano yapi??? Pengine serikali inalipa madaktari bila kujali dini zao kwani daktari anaweza kuwa wa dini yoyote kama ilivyo kwa mwalimu wa shule ya kanisa. kuwalipa posho madaktari kama lengo ni kupunguza gharama za tiba kwa watu wa dini zote ni jambo jema. Je, wagonjwa wengi ni wa dini ya wakristo?
bado naunga mkono kuvunja MOU.
kcmc,st.francis,vyuo vikuu;saut,st.john,st.joseph,tumaini ,teku,arusha university na matawi yake lukuki kila kona ya nchi...udini ni kitu mbaya tukianza kubaguana ni hatari....inabidi taasisi hizi zitoe huduma kwa wote sawa bila kujali dini kwa ustawi wa taifakwa kifupi sana waislam kila wanachofundishwa/ kuelezwa huwa hawafikiri sana kwa undani maana leo hii hata jambo nilakijinga wenzetu wanasema ndio. kufuta MOU sio suluhisho maana serikali ina depend sana kwenye makanisa angalieni shule, hospital kubwa zinahudumiwa na makanisa na wapa tu mifano michache (paramiho hospital, bugando hospital, etc.) na kuna shule nyingi tu ambazo zinaubora wa hali ya juu sana kuliko hata za serikali na ndio zinaiweka tanzania mahali pazuri kielimu na hata kimataifa kwenye nyaja za elimu
Wengi wanazunguzia hili bila kulijua.
Kwa ufafanuzi kidogo ni kuwa MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Edoward Lowasa. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91) .
Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000 x 2= Trilioni 1.29 or Trilioni 1.3. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.
Na pesa hizo ni Admin cost. Vile vile Serikali yenu inagharamia Pesa za Uendeshaji (Op Cost) za hospital hizo ikiwemo pamoja na kutoa misamaha ya kodi kwa vifaa vinavyoingizwa na makanisa hayo.
Wengi wanazunguzia hili bila kulijua.
Kwa ufafanuzi kidogo ni kuwa MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Edoward Lowasa. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91) .
Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000 x 2= Trilioni 1.29 or Trilioni 1.3. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.
Na pesa hizo ni Admin cost. Vile vile Serikali yenu inagharamia Pesa za Uendeshaji (Op Cost) za hospital hizo ikiwemo pamoja na kutoa misamaha ya kodi kwa vifaa vinavyoingizwa na makanisa hayo.