Mkuu Sikonge wazo lako si baya lakini yawezekana likawaumiza zaidi wasiohusika.
Zamani nikiwa mdogo nilikuwa nashangaa sana kuona kwa nini hatuna bomba la maji wakati serikali inaweza kuchapisha hela na kutuwekea maji kila mtu nyumbani kwake. Nilikuwa sijui kitu, kwa hiyo kwa wakati huo mawazo yangu yalikuwa sahihi. Niliona uwezekano wa kuihudumia nchi ni mkubwa kwani Tanzania nilioijua ilianzia Ghana Avenue nilikozaliwa na kuishia Kimara Temboni shambani kwetu.
Kwa aliyefika Mafia atajua shida za Waislamu haziletwi na mtu mwingine bali URITHI wa kutopenda kujiletea maendeleo ulioletwa na Mwarabu nao wakaukumbatia kama sehemu ya Imani ya dini yao.
Mabusha na Malaria ni tatizo Mafia, lkn ukihitaji matibabu ya uhakika yakulazimu upande Jahazi kuja Mchuku Mission Hospital ambayo ipo km kadhaa kutoka Kibiti-Rufiji.
Juzi juzi hapa Kanisa liliomba ardhi kwa serikali ya Mafia lkn suala hilo likaleta mzozo mkubwa mpk wananchi wakahitilafiana na mbunge wao sababu tu ya chuki za kidini. Waislamu wanaamini kuwa Kanisa lilikaribishwa Mafia basi dini yao itakuwa mashakani, lkn Waislamu hao hao hufunga safari kwa shida na tabu za jahazi mpk Bara na kuingia ndani km kadhaa kuitafuta Mchuki Mission Hospital hapo hawana shida na Ukristo.
Hawa ndugu zetu wamerithi ujinga mkubwa sana toka kwa Waarabu. Mwarabu hakuwa na utamaduni wa kufanya maendeleo. Itazame Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Lindi na miji mingine waliokaa wakoloni wa Kiarabu kama kuna urithi wa jengo la zahanati au darasa.
HOJA YAKO KIASI ULICHOLENGA KIMEELEWEKA INGAWA HUKUELEWEKA KATIKA MAENEO MENGI, MFANO HAYO MAANDISHI MEKUNDU NILIYOKOLEZA. NI KWELI KWAMBA HOSPITALI ZA WAKRISTO, WAISLAMU WANALIPA GHARAMA KUBWA KULIKO WAKRISTO ? NAKUSHAURI ONGEZA MASAA YA KUFANYA KAZI ZA KUKUONGEZEA KIPATO BADALA YA KUZURULA KUANZIA J3 HADI J2 IKIWEMO SIKU YA IJUMAA. KAZI KWAKO.
Mkuu wangu kwanza nashukuru umewaletea watu kitu hiki ambacho nimekisoma na kuwasoma baadhi ya watu na kwa uhakika imethibitisha UDINI uliopo nchini hauwezi kuzimwa kirahisi. wadanganyika ni WABINAFSI sijapata kuona maishani..
Mmejaribu sana kujenga hoja na hata kuendelea kuwatukana waislaam lakini, Je sii mawazo haya haya wana CCM husema kuhusu Chadema?..Iweje leo inapofikia swala la dini nyie wenyewe wana Chadema mnabadilika wakati mnajua fika CCM inawakandamiza wananchi japokuwa wapo watu watajiri na wanaofanya vizuri.. Majority ni maskini. Mbona sioni matusi haya kwa maskini wakulima na wafanyakazi ya kwamba hata wakikamatwa mafisadi bado mtaendelea kulalamika!..Nilikuwa nawaamini sana vijana wa Chadema kuwa wasomi na wenye kuelewa lakini sasa naanza kuingiwa na shaka kubwa sana..
Nimemsoma Jasusi, Mtu wangu na amenisikitisha sana kwa sababu swala sio waislaam wanataka nini isipokuwa jambo lililofanyika ni kinyume cha sheria. CSSC ni shirikisho la dini tofauti kabisa na NSSF ambalo ni shirika la Taifa na board yake inatokana na serikali iliyopo madarakani sio kama CSSC ya makanisa. Halafu maneno ya kujilinda anaposema hata MoU ikivunjwa Waislaam wataendelea kulalamika! kumbe mnajua hawa sii kama nyie eeeh! hatuko pamoja ila kuna wao na sisi. Bila shaka wataendelea kulalamika ikiwa kuna makundi na kutakuwa na jambo jingine maana nijuavyo hawajarudishiwa shule zao.
All am asking for ni fairplay. iwepo policy moja kwa wote na sio kundi la watu. kama tuna Private schools sheria zake ziwahusu shule zote za Private, ikiwa kuna ruzuku zitapewa zote kulingana na aidha wananfunzi wanaosoma pale, na muhimu zaidi serikali yetu ijikite ktk kuwalipia ada na matuzmizi wanafunzi badala ya kuziendesha shule hizo. Hivyo kila shule zita compete na real market price itajitokeza wakati huo huo serikali ikiziboresha shule zake...
Binafsi yangu naamini kabisa Tambaza ya wakati wa Nyerere sio Tambaza ya leo kiwango cha Elimu nchini kimeshuka kiasi kwamba wanafunzi wanamaliza darasa la saba wengine hawajui kusoma wala kuandika na hii ni across the board..Shule na Hospital zimekuwa utapeli mwingine ambako madawa na huduma fake zinapatikana kwa wale wasiokuwa na uwezo..
baadhi ya waliochangia hii mada na kumshambulia sikonge walikurupuka
Mkandara, naamini wewe ni msomi na una uelewa mkubwa sana kuliko wenzako walio wengi ambao wanaandamana bila hata kujua ni kwanini wanaandamana. Naamini unajua wazi kabisa kwamba serikali haina uwezo wa kutoa huduma zote za jamii kwa watu wote, pia unajua wazi kabisa kwamba waislam hawajawekeza vya kutosha kwenye suala zima la huduma za jamii. Hivi kama leo hii itatokea MOU ivunjwe, na wakrito wakasema tutatoa huduma kwa watu wetu tu kwa kuwa wao wanachangia sadaka, unafikiri waislamu wataenda wapi? Na niambie umoja wa taifa utajengwa vipi kama huduma za jamii zitatolewa kwa udini? Kumbukeni kwamba sehemu nyingi za vijijini ambako kuna wakristo na waislam huduma nyingi za kijamii kama maji na afya zinatolewa na mashirika ya kidini?Mkuu wangu kwanza nashukuru umewaletea watu kitu hiki ambacho nimekisoma na kuwasoma baadhi ya watu na kwa uhakika imethibitisha UDINI uliopo nchini hauwezi kuzimwa kirahisi. wadanganyika ni WABINAFSI sijapata kuona maishani..
Mmejaribu sana kujenga hoja na hata kuendelea kuwatukana waislaam lakini, Je sii mawazo haya haya wana CCM husema kuhusu Chadema?..Iweje leo inapofikia swala la dini nyie wenyewe wana Chadema mnabadilika wakati mnajua fika CCM inawakandamiza wananchi japokuwa wapo watu watajiri na wanaofanya vizuri.. Majority ni maskini. Mbona sioni matusi haya kwa maskini wakulima na wafanyakazi ya kwamba hata wakikamatwa mafisadi bado mtaendelea kulalamika!..Nilikuwa nawaamini sana vijana wa Chadema kuwa wasomi na wenye kuelewa lakini sasa naanza kuingiwa na shaka kubwa sana..
Nimemsoma Jasusi, Mtu wangu na amenisikitisha sana kwa sababu swala sio waislaam wanataka nini isipokuwa jambo lililofanyika ni kinyume cha sheria. CSSC ni shirikisho la dini tofauti kabisa na NSSF ambalo ni shirika la Taifa na board yake inatokana na serikali iliyopo madarakani sio kama CSSC ya makanisa. Halafu maneno ya kujilinda anaposema hata MoU ikivunjwa Waislaam wataendelea kulalamika! kumbe mnajua hawa sii kama nyie eeeh! hatuko pamoja ila kuna wao na sisi. Bila shaka wataendelea kulalamika ikiwa kuna makundi na kutakuwa na jambo jingine maana nijuavyo hawajarudishiwa shule zao.
All am asking for ni fairplay. iwepo policy moja kwa wote na sio kundi la watu. kama tuna Private schools sheria zake ziwahusu shule zote za Private, ikiwa kuna ruzuku zitapewa zote kulingana na aidha wananfunzi wanaosoma pale, na muhimu zaidi serikali yetu ijikite ktk kuwalipia ada na matuzmizi wanafunzi badala ya kuziendesha shule hizo. Hivyo kila shule zita compete na real market price itajitokeza wakati huo huo serikali ikiziboresha shule zake...
Binafsi yangu naamini kabisa Tambaza ya wakati wa Nyerere sio Tambaza ya leo kiwango cha Elimu nchini kimeshuka kiasi kwamba wanafunzi wanamaliza darasa la saba wengine hawajui kusoma wala kuandika na hii ni across the board..Shule na Hospital zimekuwa utapeli mwingine ambako madawa na huduma fake zinapatikana kwa wale wasiokuwa na uwezo..
Mkandara,Mkuu wangu kwanza nashukuru umewaletea watu kitu hiki ambacho nimekisoma na kuwasoma baadhi ya watu na kwa uhakika imethibitisha UDINI uliopo nchini hauwezi kuzimwa kirahisi. wadanganyika ni WABINAFSI sijapata kuona maishani..
Mmejaribu sana kujenga hoja na hata kuendelea kuwatukana waislaam lakini, Je sii mawazo haya haya wana CCM husema kuhusu Chadema?..Iweje leo inapofikia swala la dini nyie wenyewe wana Chadema mnabadilika wakati mnajua fika CCM inawakandamiza wananchi japokuwa wapo watu watajiri na wanaofanya vizuri.. Majority ni maskini. Mbona sioni matusi haya kwa maskini wakulima na wafanyakazi ya kwamba hata wakikamatwa mafisadi bado mtaendelea kulalamika!..Nilikuwa nawaamini sana vijana wa Chadema kuwa wasomi na wenye kuelewa lakini sasa naanza kuingiwa na shaka kubwa sana..
Nimemsoma Jasusi, Mtu wangu na amenisikitisha sana kwa sababu swala sio waislaam wanataka nini isipokuwa jambo lililofanyika ni kinyume cha sheria. CSSC ni shirikisho la dini tofauti kabisa na NSSF ambalo ni shirika la Taifa na board yake inatokana na serikali iliyopo madarakani sio kama CSSC ya makanisa. Halafu maneno ya kujilinda anaposema hata MoU ikivunjwa Waislaam wataendelea kulalamika! kumbe mnajua hawa sii kama nyie eeeh! hatuko pamoja ila kuna wao na sisi. Bila shaka wataendelea kulalamika ikiwa kuna makundi na kutakuwa na jambo jingine maana nijuavyo hawajarudishiwa shule zao.
All am asking for ni fairplay. iwepo policy moja kwa wote na sio kundi la watu. kama tuna Private schools sheria zake ziwahusu shule zote za Private, ikiwa kuna ruzuku zitapewa zote kulingana na aidha wananfunzi wanaosoma pale, na muhimu zaidi serikali yetu ijikite ktk kuwalipia ada na matuzmizi wanafunzi badala ya kuziendesha shule hizo. Hivyo kila shule zita compete na real market price itajitokeza wakati huo huo serikali ikiziboresha shule zake...
Binafsi yangu naamini kabisa Tambaza ya wakati wa Nyerere sio Tambaza ya leo kiwango cha Elimu nchini kimeshuka kiasi kwamba wanafunzi wanamaliza darasa la saba wengine hawajui kusoma wala kuandika na hii ni across the board..Shule na Hospital zimekuwa utapeli mwingine ambako madawa na huduma fake zinapatikana kwa wale wasiokuwa na uwezo..
Ni akili mgando hizo.
*Kwani waislam wanakatazwa kuwa na 'MOU' na serikali.
*MOU haiko kwenye taasisi za kidini pekee na serikali, zipo taasisi nyingi za umma kama NHC, NSSF, NIC wana 'MOU' na taasisi binafsi ikiwemo miradi mbalimbali.
*Hivi unajua kuna miradi mingapi ya afya inayomilikiwa na kanisa, na faida yake kijamii? Wewe hukai kijijini na wala ukiugua hutibiwi kijijini, maana ungeyajua haya wala usingesema.
*Makanisa yalianzisha miradi hiyo kuhudumia jamii nzima pasipo kubagua mtu kwa misingi ya kidini.

hivi vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi vya kikristo,kama kuna nilichosahu naomba wana jf muongezee hapo:
1. Saint augustine university of tanzania (saut)
2. Stefano moshi memorial university college (smmuco)
3. Ruaha university college (ruco)
4.iringa university college (iuco) 5 makumira university college (muco)
6.tumaini university - dar es salaam college (tudarco)
7.saint augustine university of tanzania (saut)
8.stella maris mtwara university college (stemmuco)
9.archbishop mihayo university college of tanzania (amucta)
10.jordan university college (juc)
11.sebastian kolowa university college (sekuco)
12.mwenge university college of education (mwuce)
13.saint johns university of tanzania (sjut)
14.university of arusha (uoa)
15.teofilo kisanji university (teku)
16.catholic university of health and allied sciences (cuhas)
17.st. Francis university college of health and allied sciences (sfuchas)
18.mount meru university (mmu)
19.st. Joseph university in tanzania (sjuit)
hvi ni vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi vya waislam,kama kuna nilichokiacha naomba wana jf muongezee
1.muslim university of morogoro (mum)
2.zanzibar university (zu)
nawaomba sana waislamu muache kulalamika:
a.mnasema nyerere kawaonea,ameshakufa na hawezi kufufuka,jipangeni vizuri
b.kighoma malima mnaesema aliwatetea nae ameshakufa hawezi kufufuka tena,jipangeni vizuri,
c.na wengineo wanaowapa sumu za hapa na pale kaeni nao mjipange mna hazina ya kutosha ya kuweza kuchangishana na kuongeza ufanisi kwenye chuo chenu cha morogogoro mfano mh bakhresa ni mmoja wa matajiri kumi barani afrika,mohamedi dewji na wengineo ongezeni matawi ya mum mikoani na dsm pia,msikalie kwenda kuomba kw matajiri hawa hasa bakhresa hela za kwenda kuhiji tu,na maendeleo pia mkaombe,tamsa msiwe sehemu ya malalamiko tu,nyie kama vijana wasomi msiwe na mawazo kama ya ponda yeye ameshamaliza enzi yake,elimu kakosa anaishia kufitinisha watu.
Huu ni ushauri tu!
Mungu ibariki tanzania.
Natamani sana kuona madhehebu ya kidini yakishindana kutoa huduma kwa jamii. Hebu fikiria tunakuwa na Kilimanjaro Muslim Medical Centre (KMMC) inashindana na Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC)
Wenzenu wanaitisha harambee kuchangisha fedha za kuanzisha miradi ya maendeleo nyie mnasubiri OIC iwaletee vya bure.Unasahau kwamba serikali ilipotaka kujiunga na OIC wakatoliki walipiga sana kelele, kwani hujui kwamba yenyewe ingewasaidia kujengewa mashule, mahospitali na mengine kama biashara na kadhalika, hii ilionkena kuwa ingewaendeleza waislamu, na kwa sababu wenzetu upande wa pili wanapenda kuona sisi tukiwa nyuma siku zote basi ni kelele kwa kwenda mbele, HAYA NDIO SABABU KUBWA YA VURUGU HIZI ZINAZOTOKEA,! serikali ivunje hiyo MOU between wao na kanisa, au ikubali kujiunga na OIC kwamba na waislamu nao watakuwa na MoU yao!
Kutokana na kulalamikiwa saana na Waislaam kuwa Makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa (MOU) yanafanya nchi hii iwe na "Mfumo Kristo" na hivyo kuwanyanyasa Waislaam na hata kuwatawala, inabidi ifike wakati Makanisa yaanze kufikiria jinsi ya kuvunja mkataba huo na kurudi kama ilivyokuwa zamani.
Kwa sababu hili swala limeonakana likichochea sana vurugu, mie napendekeza lifuatalo:
- Wavunje mkataba wa MOU na Serikali.
-Waislaam wawe wanalipia gharama kwa bei ya kawaida ya kutibiwa kwenye Mahospital ya Kanisa.
-Waislaam wawe wanalipia gharama kwa bei ya kawaida ya kusomeshwa kwenye Mashule ya Kanisa nk.
-Makanisa na vitengo vyake, viwe vinalipa kodi kwa kufanya biashara ya Hospitals, Shule nk.
-Gharama kwa walio Wakristo, ziwe zinapunguzwa kwa wingi kwa sababu wao hutoa michango mingi tu ya kuendeleza kanisa na sadaka za kila Jumapili.
-Kwa wasio Wakristo na hapo wanapoishi hakuna hospital ya Serikali au ya dini yao, basi itabidi wailazimishe Serikali MPYA ya Tanzania ambayo haitakuwa na Mfumo Kristo tena ili wawajengee Hospitals za Serikali.
Kama Serikali ikishindwa basi wajiandae kulipa gharama kubwa kwenye huduma hizo za jamii au KUBADILI DINI. Kama siyo hilo basi na wao na dini zao wajenge hizo huduma za jamii ili kushindana na za Makanisa.
Nafikiri muda umefika wa kuonyesha kuwa Viongozi wa Makanisa ni Wasomi wa hali ya juu na siku zote "Akili kubwa hutawala akili ndogo......" Vinginevyo, akili zao zitakuwa kazi bure kama hawawezi kutatua matatizo yaliyowazunguka.
Kama kuna kundi jingine au Serikali litakuja na mbinu mbadala na kuweka huduma hizi za jamii katika bei nafuu zaidi, basi ina maana huduma za jamii kutoka kwenye Makanisa tutakuwa hatuhitaji tena. Maendeleo yanakuja kwa mashindano. Muda umefika Makanisa kutangaza mashindano kwa kutoa huduma za JAMII VS dini nyingine au Serikali.
NB: Nashukuru MOD(s) uliyeongeza Maneno hayo chini. Yatasaidia kupunguza kutokuelewana. Thanks again.
**************
Usichangie hoja hii kwa kuirukia, isome na uelewe context
Kwa wageni; Soma hii - MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini