Makanisa yasiyosajiliwa yanazidi 3000, yenye usajili kamili hayafiki mia ' Mwakipesile,anaonewa!!

Unamaanisha makanisa yenye koneksheni na ulaya na Us ndio yamesajiliwa.

Haya ya wabunifu wa kitanzania hayana usajili.
Sasa sisi wenye maono ya kutokea TZ kwenda ulaya kubatiza wazungu tutatoboa kweli.
 
Madhani kosa la Mwakipesile ni kutumia nyumba/jengo isiyosajiliwa kama kanisa. Lakini ukweli ni kuwa kaonewa.
 
Acha uongo. Kwa hivyo makanisa Kama FPCT, PEFA, ELIM, Pentecostal Hollines ni Ministry?. Haya ndio makanisa ya kwanza ya kipentekoste Tanzania.
Hayo sio ministry na hayakuasisiwa hapa kwetu yaliletwa na wamissionar nimekwambia makanisa yaani churchers hayafiki mia nisingeweza kuorodheshq yote
 
Nionyeshe churchers yoyote ambayo asili yake ni Tanzania mkuu! Itaje hapa nitakupa evidance
Mkuu ualikumbuka lile Kanisa lenye Makao yake Makuu mitaa ya Tegeta hapo, lililofanya tafrija fulani na kuwaalika Wazee wa Dar es salaam pamoja na Mkuu wa Mkoa pale Mlimani city?....
 
Unamaanisha makanisa yenye koneksheni na ulaya na Us ndio yamesajiliwa.

Haya ya wabunifu wa kitanzania hayana usajili.
Sasa sisi wenye maono ya kutokea TZ kwenda ulaya kubatiza wazungu tutatoboa kweli.
Yaani maono yakitanzania hayapewi usajili ila mamisheni ya wazungu ndio yenye usajili Bado tuko chini ya ukoloni wa mzungu
 
Mkuu ualikumbuka lile Kanisa lenye Makao yake Makuu mitaa ya Tegeta hapo, lililofanya tafrija fulani na kuwaalika Wazee wa Dar es salaam pamoja na Mkuu wa Mkoa pale Mlimani city?....
Linaitwaje boss wangu
 
Yaani maono yakitanzania hayapewi usajili ila mamisheni ya wazungu ndio yenye usajili Bado tuko chini ya ukoloni wa mzungu
Hili waliangalie.
Ila huyu Bwana kwa mtazamo wangu alitaka kwenda mbali zaidi. Naona alikuwa ameingia kwenye mpambano wa moja kwa moja na mambo ya kiserikali na kisiasa wakati huko wako wakina Lisu, Chadema na wanaharakati wengine. Yeye angewekeza kwenye Vita na serikali ya Ufalme wa giza. Hapo naona huyu Bwana mbarikiwa hata kama ameonewa ila alikua anapoteza dira mdogomdogo.
 
Kanisa likishasajiliwa Tanzania linakuwa la Tanzania. Acha upotoshaji.
Kanisa Anglikana Jimbo la Tanzania asili yake ni Uingereza na Mkuu wa Kanisa ni King Charles na mh Job Ndugai ni Mshauri wa askofu mkuu wa Canterbury 😂😂🔥

Usipoelewa hapo ndio basi tena bwashee!
 
Kanisa Anglikana Jimbo la Tanzania asili yake ni Uingereza na Mkuu wa Kanisa ni King Charles na mh Job Ndugai ni Mshauri wa askofu mkuu wa Canterbury 😂😂🔥

Usipoelewa hapo ndio basi tena bwashee!
Roman Catholic Tanzania haikupaswa kuitwa jina Hilo ,ingeitwa Tanzania catholic ,au wangetaka hata wangeeita dar esa alaam catholic
 
Suguye alifungiwa akamilishe usajili alipokamilisha akafunguliwa, mwingine aliwatoa kafara wachaga ili apande daraja hata ndani hakukaa

Wawe wanaona aibu waache hukumu za dabo standard kwa makosa yanayofanana
 
"Ministry ni huduma inayomilikiwa na mtu Mmoja au ni maono ya mtu Mmoja lakini churchers ni missionaries ni taasisi ambazo asilimia kubwa zimetoka ng'ambo..ministry TU ndizi utawakuta waasisi wake wametoka rukwa ,mbeya na mikoa mingine"

Unapotosha
Usahihi ni upi
 
Suguye alifungiwa akamilishe usajili alipokamilisha akafunguliwa, mwingine aliwatoa kafara wachaga ili apande daraja hata ndani hakukaa

Wawe wanaona aibu waache hukumu za dabo standard kwa makosa yanayofanana
Umeenda mbali angalia usigonge mfupa
 
hiyo taarifa umeitoa wapi, weka chanzo. unachotakiwa kujua ni kwamba, yapo makanisa madogomadogo huko mikoani ambayo unawezafikiri hayajasajiliwa labda kwasababu haujawahi kuyasikia, kumbe ni branch tu, makao yao makuu yamesajiliwa. shida ya mwakipesile aliachana na main church, akataka kuanzisha kanisa lake jipya, he was not a branch of any of those, kilikuwa ni kitu ambacho hakijawahi kusajiliwa, na zaidi ya yote, aina ya mafundisho yake yalikuwa yanahatarisha ustawi wa jamii kabisa. angelijua angebaki tu kwenye uimbaji huko ndiko Mungu alimwitia, kule alikolaimisha kwenye kikosi kazi (meaning task force), kilikuwa kikundi cha kihuni tu.
Unatakq kusema haya makanisa ya manabii yanayochipua kama uyoga huko mikoani ni branch?
 
Back
Top Bottom