Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

Unapo toa sadaka basi iwe hivi, "Ata wewe ikitokea ukaiyangusha na ikuume!" Lakini isiwe ata ikikupotea huwazi. Mungu ndiye tunampaga kidogo na cha mwisho, jambo ambalo km huna imani hufanyii
 
na wewe ndio walewale wapigaji
 
Mkuu unaongelea hiki kikundi kilichoanzishwa na Nabii Mke Ellen Gould White akishirikiana na mumewe James White pamoja na genge la wahuni waliotabiri ujio wa Yesu kina Miller...?????
Mambo Ya Kiroho Kama Huyajui Ni Kama Upuuzi Mtupu Tu
 
Mkuu unaongelea hiki kikundi kilichoanzishwa na Nabii Mke Ellen Gould White akishirikiana na mumewe James White pamoja na genge la wahuni waliotabiri ujio wa Yesu kina Miller...?????
Mkuu Usioongozwe Na Uhafidhina Wa Dini Yako
 
Una point hila huu mwanadiko wa kila neno unaanza na herufi kubwa ni tatizo kubwa sana, jichunguze labda uko na shida mahala
 
Kwa kuangalia hvyo, wahumini ndyo wana hali ya chini ya kimaisha kuliko wahubiri wao
 
Haya makanisa ndo yanavuraga familia nyingi kwa kauli chonganishi, unakuta MTU anaumwa na daktari amethibitisha lakini watasema amelogwa, naomba tuwe kama kagame rais wa Rwanda amepiga marufuku haya makanisa feki
 
Si jambo la maana kupiga marufuku uhuru wa kuabudu kama imani hiyo haina madhara
 
Hakuna kanisa la mtu binafsi duniani. Kanisa ni kusanyiko la waumini katika jumuiya ya kumsifu na kumuabudu Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…