figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Usikute this time Kigamboni imefika beiHao jamaa ni America first hua popote watuapo ni kwa ajili ya America. Utaskia moto utakaowaka huko baadae.
Utaskia soon Zanzibar inataka kujitenga na ni nchi huru isiingiliwe mambo yake. Yale yale ya TaiwanUsikute this time Kigamboni imefika bei
Kama huelewi jambo ni vizuri kupita tu bila ku comment chochote! Watu tunaangalia namna Utalii unavyokuwa nchini we unaleta upuuzi wakoUkoloni gani tena huu tunafanyiana jamani?
Kaja kustarehe bongo baada ya kuhamasishwa na The royal tour Tanzania. Nyie endeleeni tu kubwabwajaJirani alimkaribisha lavrov Sasa wanakuja kuangalia kama wanaweza kufanya reshuffle
Hamkosi maneno mnashindwa tu kupongeza kuwa Rais kaupiga mwingi kukuza utalii saivi mnaishia kuokoteza tu vimaneno ili mradi mlalamike 😂Baada ya miezi miwili mbele, unasikia kuna mgodi wa madini adimu kabisa duniani umeuzwa kwa wawekezaji kutoka Marekani!
Siyo kwamba amekuja kukagua mradi wake ambao Royo Tua ilikuwa ikiipigia chapuo?Kaja kustarehe bongo baada ya kuhamasishwa na The royal tour Tanzania. Nyie endeleeni tu kubwabwaja
Endeleeni tu kutunga uongo wenuSiyo kwamba amekuja kukagua mradi wake ambao Royo Tua ilikuwa ikiipigia chapuo?
Yaani Mike Pence kutua Bongo ndiyo kuanza kutuvimbia hivi? Umeelewa au umevuta Bange?Kama huelewi jambo ni vizuri kupita tu bila ku comment chochote! Watu tunaangalia namna Utalii una to kuwa nchini we unaleta upuuzi wako
Waambie waendelee kukusanya tu hayo MADOLALI sijui ndiyo bange za sayari gani?Endeleeni tu kutunga uongo wenu
Sie tunahesabu madolali tu! Mwezi uliopita Tanapa tu wamekusanya Bil 47 hapo haijawekwa Ngorongoro
Hakuna cha bangi wala niniYaani Mike Pence kutua Bongo ndiyo kuanza kutuvimbia hivi? Umeelewa au umevuta Bange?
Wazazi walipoteza ada yao ya Bure..Hao jamaa ni America first hua popote watuapo ni kwa ajili ya America. Utaskia moto utakaowaka huko baadae.