Makamu wa Rais Mstaafu wa Marekani, Mike Pence atua Tanzania

Hakuna cha bangi wala nini

Mwezi wa saba tu Tanapa wamekusanya Bil 47 kwa utalii tu

Hii inaonekana sekta yetu ya utalii si mchezo we endelea tu kusononeka tuachie tunaojua namna Samia anavyoipeleka hii nchi mbele kimaendeleo tushangilie
Huyo ameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, yuko analinda maslahi ya vibosire wake. Endelea kumwimbia sifa na mapambio, ila soon utanielewa.
 
Kwa Madolali hayo ndo mana kuanzia mwezi wa saba form 5 na 6 wanasema bure Kama huna mtoto basi kuna ndugu zako wanafaidi
Sidhani kama unajua wanachojifunza hao unaodhani wanapewa elimu bure. In short, walikuwa wanaibiwa.

Badala ya serikali kuboresha miundombinu ya elimu na kuwajengea uwezo tutors wa watoto ili wabobee, wanafanya mambo gani sijui?
 
Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.

Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika uchaguzi wa 2016. Alihudumu na Rais Donald Trump.
View attachment 2318001
Mungu wabariki Wazungu
 
Ni dhahiri amekuja kuutazama Uchaguzi wa Kenya.
Alikuwa vice president under Donald Trump. Hawa watu ndio walikuwa wanasema "America First",wa interest gani na Africa?
Halafu wakafukuzwa kazi,wakaambiwa kwamba Black Lives also matter.
Interest yao na Kenya ni kwamba Obama waliyemfungisha virago Ni Mjaluo.
 
Mkurugenzi wa mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo(Wa pili kulia) alipoizuru ofisi ya makamo wa Rais wa Marekani bw Mike Pence tarehe 07 Dec 2019
20220808_181708.jpg
 
Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.

Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika uchaguzi wa 2016. Alihudumu na Rais Donald Trump.
View attachment 2318001
Achituleletee TU sera za ubeberu 🏃,kama ule unao endelea kupiganwa na mbambe mmoja vis mabeberu wa ulaya na America 🤔
 
Back
Top Bottom