Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la Maziwa Makuu, uliyofanyika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 21 Desemba 2025.
Rais Yoweri Kaguta Museveni alichukua nafasi ya photo opportunity kumuuliza maswali mengi Dr. Emmanuel Nchimbi wakati wakiwa ktk hatua ya kupiga picha ya ukumbusho na kumuuliza maswali mengi binafsi. Kama inavyosikika ktk clip hii kuanzia dakika ya 10 ktk hii clipu
21 December 2025
Kampala, Uganda
DR. Emmanuel John Nchimbi akiendelea kumuakilisha Samia nje ya nchi na katika video hii Museveni alimuuliza maswali kibao Nchimbi.. View: https://m.youtube.com/watch?v=E6d5RpULJxs
Rwanda & DR. Congo Trade Counter Accusation at Kampala Summit as M23 Resumes Fighting
Toa ushahidi au maoni kwa Tume kuhusu matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi mkuu kwa SMS/WhatsApp: 0743 040890 au kupitia https://tume.uchunguzi.go.tz.