Makamu wa Rais ana kazi gani?

Makamu wa Rais ana kazi gani?

Kuuliza si ujinga!
Makamu wa rais anakazi gani katika nchi? Mi kwa mara ya mwisho nilimwona kwenye uzinduzi na mara nyingi namwona kwenye matukio ya uzinduzi wa majengo, zahanati, mikutano..nk. mi nilitegemea kwenye issue kama hii ya ripoti ya mawaliasili yeye ndio angetoa tamko la kukatisha nyazifa za mawaziri kwa niaba ya rais. Nina zaidi ya miezi 3 sijamsikia huyu mtu na Kwanini ziara nyingine rais asiwe anamtuma kwenda kumwakilisha, zamu hii anaenda rais ziara inayofuata anaenda makamu.
 
Ni mtaalamu aliyebobea ktk masuala ya kukata utepe, kuzindua vitu mbalimbali na kuweka mawe ya msingi.

Na katika utaalamu wake huo anatambulika kimataifa.
 
Na Kikwete ni senior passenger kwenye ndege so kila mtu na kazi yake. Rais anasafiri nje ya nchi makamu anasafiri ndani ya nchi kuzindua mawe ya msingi.
 
siku hizi anakata kwa touch style nlimkubali sana aliposhika mkasi tu utepe ukakatika bagamoyo
 
Kuna watu hapa wangependa amuwakilishe mh rais kwenye matibabu US.
 
kufanyan uzinduzi na kufungua
mabaraza ya eid na maulidi.
 
ni muda mrefu nimekuwa nikijaribu kufuatilia majukumu ya makamu wa raisi tanzania lakini sijawahi kuhisi wala kuona uwepo na umuhimu wa nafasi hiyo, kwani kumekuwa kunajitokeza mambo makubwa ya kitaifa rais akiwa nje ya nchi lakini huwa anasubiriwa arudi ili atoe maamuzi, nilimsikia mtoto mmoja akisema mzee wa mkasi, nilitafakari nikahisi labda ndio kazi ya makamu wa rais tanzania kutembea na mkasi, inasemekana vyuo vikuu wanamuita jina hilo mzee wa mkasi, naomba mnijuze kazi na majukumu ya makamu wa rais mwenzenu siyajui
1.jpg2.jpg3.jpg
 
Mkuu, hivi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ana kazi gani?
 
ni muda mrefu nimekuwa nikijaribu kufuatilia majukumu ya makamu wa raisi tanzania lakini sijawahi kuhisi wala kuona uwepo na umuhimu wa nafasi hiyo, kwani kumekuwa kunajitokeza mambo makubwa ya kitaifa rais akiwa nje ya nchi lakini huwa anasubiriwa arudi ili atoe maamuzi, nilimsikia mtoto mmoja akisema mzee wa mkasi, nilitafakari nikahisi labda ndio kazi ya makamu wa rais tanzania kutembea na mkasi, inasemekana vyuo vikuu wanamuita jina hilo mzee wa mkasi, naomba mnijuze kazi na majukumu ya makamu wa rais mwenzenu siyajui
View attachment 134228View attachment 134229View attachment 134230

Kwa hiyo wewe jamaa ni Genius kuliko hao waliokaa chini na kuona kuna haja ya kuwepo kwa makamu wa rais...
 
ni muda mrefu nimekuwa nikijaribu kufuatilia majukumu ya makamu wa raisi tanzania lakini sijawahi kuhisi wala kuona uwepo na umuhimu wa nafasi hiyo, kwani kumekuwa kunajitokeza mambo makubwa ya kitaifa rais akiwa nje ya nchi lakini huwa anasubiriwa arudi ili atoe maamuzi, nilimsikia mtoto mmoja akisema mzee wa mkasi, nilitafakari nikahisi labda ndio kazi ya makamu wa rais tanzania kutembea na mkasi, inasemekana vyuo vikuu wanamuita jina hilo mzee wa mkasi, naomba mnijuze kazi na majukumu ya makamu wa rais mwenzenu siyajui
View attachment 134228View attachment 134229View attachment 134230

Kaka hii ni division of labor and specialization. Makamu wa rais yeye si msemaji bali mtekelezaji, tepe zinakatwa fasta fasta. Vikao vya mazingira vya kimataifa ana attend pia kama mdau mkuu. Kikwete akisafiri anamkabidhi ofisi makamu wake lakini maamuzi anampa waziri mkuu!! Sasa hapa ukistaajabu ya makamu wa rais utayaona ya katiba mpya. Mimi nashauri hata cheo cha rais kifutwe, tuwe tuna chagua wabunge kisha wana chagua waziri mkuu na anapigiwa kura na bunge ndie anakuwa head of state affairs
 
Makamu wa raisi ni mtu muhimu sana,,,,cdhani kama kuna nchi ya kidemokrasia ambayo haina makamu wa raisi...the problem is we like to hear things rather than wanting to see them..dr bilal ana kazi nyingi sana na hata anavyoenda uko kufungua shule na miradi mingine anafanya vile strategically..trust me co mjinga ajichoshe kiasi kile lazima kuna vitu vngne ambvyo vipo attached mfano malalamiko ya wananchi,ripoti za usalama wa eneo husika,hali ya kiuchumi na maendeleo kiujumla...hii inamweka kwnye nafasi nzuri ya kujua mambo mengi na infact ni jicho la pili la raisi..utendaji wa dr bilal co wa kutiliwa shaka and infact unaeza kukuta ni mzur kuliko jk....makamu wa rais lazima awepo na role yake ni muhimu...kwenye situation kama kutokuwepo kwa raisi mfano kpnd mkapa anaumwa dr shein alituongoza vema huku wazr mkuu sumaye akiwakilisha serikal bungen ivo ndo inavotakiwa
..
 
si mnakumbuka huyu bwana alifanya ziara jijin dar kukagua shughuli za usafi??? nikaanza jiuliza wapi na wapi? ni kukosa kazi ndo mana kaamka akaamua kuja kutujazia foleni au? manispaa? jiji wafanye nn sasa? hiki cheo na vyeo vya ma DC vinatakiwa vifutwe!!!
 
Makamu wa raisi ni mtu muhimu sana,,,,cdhani kama kuna nchi ya kidemokrasia ambayo haina makamu wa raisi...the problem is we like to hear things rather than wanting to see them..dr bilal ana kazi nyingi sana na hata anavyoenda uko kufungua shule na miradi mingine anafanya vile strategically..trust me co mjinga ajichoshe kiasi kile lazima kuna vitu vngne ambvyo vipo attached mfano malalamiko ya wananchi,ripoti za usalama wa eneo husika,hali ya kiuchumi na maendeleo kiujumla...hii inamweka kwnye nafasi nzuri ya kujua mambo mengi na infact ni jicho la pili la raisi..utendaji wa dr bilal co wa kutiliwa shaka and infact unaeza kukuta ni mzur kuliko jk....makamu wa rais lazima awepo na role yake ni muhimu...kwenye situation kama kutokuwepo kwa raisi mfano kpnd mkapa anaumwa dr shein alituongoza vema huku wazr mkuu sumaye akiwakilisha serikal bungen ivo ndo inavotakiwa
..

acha uboflo wewe! izo kazi zote ulizozitaja zina vitengo vyake established kufanya hayo mambo besides hivyo vitengo havipo chini yake so atawezaje fuatilia vitu visivyo chini yake? alipofanya ziara ya kukagua shughuli za usafi jijin ilikua ina ulazima gani ukichukulia tuna mamlka chungu mzima kwa kazi iyo si kutujazia foleni tu kwa msafara wake usio na tija?
 
Back
Top Bottom