Makamu wa Rais ana kazi gani?

Makamu wa Rais ana kazi gani?

Kwa hiyo wewe jamaa ni Genius kuliko hao waliokaa chini na kuona kuna haja ya kuwepo kwa makamu wa rais...
usiishi kwa mazoea wewe mtu! Mbona tunataka katiba mpya walio itengeneza hiyo 1977 hawakuwa na akili? Kuwa muelewa ndio maana kuna mabadiliko katika jamii! Cheo cha Naibu IGP uliwahi kukisikia awali? Mbona kipo sasa hivi? Ina maana walio tangulia hawakuwa cognitively fine?
 
Kwa ujinga huu unaokesha unapost katika mitandao hivi kweli utapata nafasi ya kujua kazi za makamu wa rais kwa mujibu wa katiba yetu iliyopo au ijayo!!-ni ajabu,maana ulivyo jinga ,hata kazi zako za kujiondolea umaskini wa kipato na akili bado huzijui,kucha kutwa unapost upuuzi tu,nacho umefanya kibarua.wewe ni jinga,janga la familiya yako,na bomu kwa wazazi wako.
 
acha uboflo wewe! izo kazi zote ulizozitaja zina vitengo vyake established kufanya hayo mambo besides hivyo vitengo havipo chini yake so atawezaje fuatilia vitu visivyo chini yake? alipofanya ziara ya kukagua shughuli za usafi jijin ilikua ina ulazima gani ukichukulia tuna mamlka chungu mzima kwa kazi iyo si kutujazia foleni tu kwa msafara wake usio na tija?

Sasa kwan haruhusiwi kufanya hivo??ndo mana nkakwambia ni jicho la pili la raisi,,,anaangalia nini kinaendelea katika nyanja za chini za uongozi..na anatoa ripoti kwa raisi...naona umeelemea kwenye iyo point moja tu ya usafi lakin anafanya vitu vingi sana
 
Hamjsmpa kazi akashindwa. Mfano yeye ndiye wa kwenda ktk misiba, mazingira (like was his predecessor from Zanzibar), nk. badala yake mnamwsmbia afundishe.
 
Kazi kuuu ni utepe...
Zilzobaki mkuu wake, Samuel Luhanga zoooteeeee
 
kwa mtazamo wangu sioni ukazima wa kuendelea kuwa na makamu wa rais Tz kwa sababu sioni kazi ya msingi anayoifanya.
nilichoona kazi yake kuu ni:
.kwenda misibani
.kuzindua miradi
.kuzungumzia chama
.kuhudhuria makongamano ya ukimwi n.k.

hana kazi yoyote na ni matumizi yasiyo ya lazima.
 
Huyu ni msaidizi na mshauri namba 1 wa Mh.Rais wa Jamhuri

Kwa nini tusije na Mfumo Kama wa German au kule Israel na hata Italy au kule Rusia na Marekani . Huko Waziri Mkuu ana nguvu sana na Rais yupo lakini hana mamlaka makubwa na huko Marekani wao hawana Waziri Mkuu wana Rais na makamu tu,Kama ilivyo Ufaransa , katiba mpya wajifunze huko kisha tuje na mpya kidogo tusiishi kwa mazoea Miaka nenda ludi.
 
Ni bora iludi Kama zamani Rais wa Zanzibar awe makamu wa Rais kisha hiyo nafasi ya makamu itulizwe kwanza
 
Kufungua sherehe za maazimisho ya sababa,maulid na kula bata kwani hata shingo yake imechoka hawez kugeuka. Mwachen mzee ajilie kodi zenu kwa raha zake!
 
Yatupasa sasa tuwe Digtal kwenye Mfumo wa Utawala si lazima kukariri awamu zilizopita ubunifu unahitajika ili kwenda na wakati.
 
Huyu anashugulikia mazingira (miti & maji machafu nk) & usisahau mafuriko ya dar (ukaguzi kwa kutumia helikopta)
 
Makamu wa rais ni msaidizi wa rais na pia anasimamia wizara zilizo chini ya sekta zake kama vile muungano na mazingira. Acheni tabia ya kulalamika kila wakati kama watoto yatima. Nadhani mtoa hoja kidogo hujafikiria zaidi au labda Billal humpendi yeye kama Billal. Una hoja binafsi hapo nahisi.
 
chichiem wajanja sana zile wizara zisizo na mshiko (Mazingira & Muungano ndo wamempa mzee wetu toka nchini za nzibar
 
What we need ni kwamba nafasi ya makamu wa rais ibaki, nafasi ya waziri mkuu ifutwe na majukumu ya ofisi yake yahamie ofisi ya makamu wa rais, like kenya like USA, it sounds wakuu
 
Kama tunavyojua kuwa Rais wetu yupo nje ya nchi kwa ziara za kikazi sasa je ni nani aliyemwachia kukaimu kiti chake? na kama alimwachia Makamu wake mbona hapaform vile inavyotakiwa?
 
Rais kikwete alirejea nchini jana alasiri. Labda swali hili litakuwa katika wakati wake pindi akihudhuria mazishi ya king cobra kule zambia.
 
Back
Top Bottom