Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein: Upinzani ni vibaraka!

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,209
Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewatahadharisha wanaojiandaa kuleta vurugu visiwani humo kwamba wasije kuilaumu Serikali kwa hatua itakazochukua dhidi yao.

Akihutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika Kisiwandui Zanzibar jana, Dk Shein alisema:

“Tutailinda amani kwa gharama zozote na tutamdhibiti yeyote atakayeleta vurugu…
niliambiwa kuna watu wanataka kuleta vurugu,nasema walete hizo vurugu kama wana
ubavu.”

Alisema CCM itaendelea kutawala Zanzibar licha ya vibaraka wa ndani kutumika kutaka kukiondoa chama hicho madarakani.

“Mtaiona hivihivi CCM ikiendelea kutawala licha ya majaribio ya vibaraka kutaka kuing’oa,
kwenye nchi nyingi vibaraka wamefanikiwa kuviondoa vyama vilivyoleta ukombozi lakini
kwa Zanzibar mtaiona hivihivi,” alisema.

Aliwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye uchaguzi wa marudio Machi 20.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa
Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein
amewatahadharisha wanaojiandaa kuleta vurugu
visiwani humo kwamba wasije kuilaumu Serikali
kwa hatua itakazochukua dhidi yao.
Akihutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho
kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya
kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika Kisiwandui
Zanzibar jana, Dk Shein alisema:
“Tutailinda amani kwa gharama zozote na
tutamdhibiti yeyote atakayeleta vurugu…
niliambiwa kuna watu wanataka kuleta vurugu,
nasema walete hizo vurugu kama wana
ubavu.”
Alisema CCM itaendelea kutawala Zanzibar licha
ya vibaraka wa ndani kutumika kutaka kukiondoa
chama hicho madarakani.
“Mtaiona hivihivi CCM ikiendelea kutawala
licha ya majaribio ya vibaraka kutaka kuing’oa,
kwenye nchi nyingi vibaraka wamefanikiwa
kuviondoa vyama vilivyoleta ukombozi lakini
kwa Zanzibar mtaiona hivihivi,” alisema.
Aliwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye
uchaguzi wa marudio Machi 20.
10274046_271727336341468_9088621212866646146_n.jpg

kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...
 
Yeye Shein ameamua kuisiginasigina Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kwa kumtumia 'kada' wao Jecha li aendelee kukaa madarakani kibabe, akivitegemea vifaru vya kijeshi vilivyonunuliwa kwa kodi za wananchi ili aviamrishe kwa 'mamlaka' aliyo nayo kuzima matakwa ya wananchi.

Lakini huyo Shein anapaswa ajiulize swali moja tu la msingi, hivi katika historia ya dunia ni wapi pale wananchi walipokataa dhuluma ya watawala, ambapo nguvu ya vyombo vya dola iliwahi kushinda nguvu ya Umma?
 
Sikujua Mh Shein naye ni mroho wa madaraka kiasi hiki.. Hivi haoni aibu kuwa Dunia nzima inajua Maalim Seif ndie rais wa Zanzibar aliyechaguliwa na wananchi! Yeye kawekwa pale na Ccm hasahasa Mkapa.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa
Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein
amewatahadharisha wanaojiandaa kuleta vurugu
visiwani humo kwamba wasije kuilaumu Serikali
kwa hatua itakazochukua dhidi yao.
Akihutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho
kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya
kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika Kisiwandui
Zanzibar jana, Dk Shein alisema:
“Tutailinda amani kwa gharama zozote na
tutamdhibiti yeyote atakayeleta vurugu…
niliambiwa kuna watu wanataka kuleta vurugu,
nasema walete hizo vurugu kama wana
ubavu.”
Alisema CCM itaendelea kutawala Zanzibar licha
ya vibaraka wa ndani kutumika kutaka kukiondoa
chama hicho madarakani.
“Mtaiona hivihivi CCM ikiendelea kutawala
licha ya majaribio ya vibaraka kutaka kuing’oa,
kwenye nchi nyingi vibaraka wamefanikiwa
kuviondoa vyama vilivyoleta ukombozi lakini
kwa Zanzibar mtaiona hivihivi,” alisema.
Aliwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye
uchaguzi wa marudio Machi 20.

Kibaraka wao Jecha amesema hamna campaign mbona sasa yeye anaendelea na campaign? Mgongano wa kimamlaka
 
Hakuna haki!
Hakuna democracy!

Wanaikanyaga katiba kisa wameshika dola. Jeshi nalo linatumika kisiasa
 
Alisema CCM itaendelea kutawala Zanzibar licha
ya vibaraka wa ndani kutumika kutaka kukiondoa
chama hicho madarakani.

Sasa kuna umuhimu gani wa kurudia uchaguzi kama wagombea wengine tayari mshawalabel kuwa ni vibaraka? Je, katiba ya Zanzibar inawatambua kama ni vibaraka? Je, katiba ya Zanzibar haitambui uchaguzi kama njia pekee ya wananchi kujipatia serikali waitakayo?
CCM imepata wapi kiburi hiki cha kujipa hati miliki ya utawala wa Zanzibar?
 
Aisee kweli madaraka yana lewesha kuliko hata bangi.
Bora bangi iruhusiwe tu mana haina madhara kama madaraka.

Dr. Shein amekua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka takribani 13.
Amekua Rais wa Zanzibar Miaka 5.
Lakini bado tu anang'ang'ana na kutoa kauli za kuvunja demokrasia.
Mwenzake alikubali kuwa makamu wa rais lakini yeye hataki.
Serikali ni ya mseto kule Zanzibar woga wa Dr. Shein na CCM chama chake ni nini? Ulevi tu, hasa ulevi wa madaraka
 
Wazanzibari tulieni kabisa maana wanatafuta chokochoko ya kutaka kumwaga damu isiyo na hatia
 
Wazanzibari tulieni kabisa maana wanatafuta chokochoko ya kutaka kumwaga damu isiyo na hatia

Huu pia uchukuliwe kama ujumbe rasmi kwa ukawa na upinzani bara. Nafasi zenu katika chaguzi chini ya chama hiki zitaishia ubunge tu na sio kuongoza nchi. Nchi nyingi barani Africa uongozi na uchaguzi wa kidemocracy bado ni ndoto.
 
Niliona clip moja ambayo haifai kuweka hapa lakini imenitisha sana.
Kuna watu wanasema kama ccm inafanya mikutano na wao wanazuiwa basi nao watafanya. Na polisi wakiwapiga kwa vile wameamua kuwa wanaccm wao wanajua la kufanya.
Wanasema wanawajua wake za polisi hao, watoto wao na hata vichochoro wanavyopita. Sokoni na madukani wanawaona na huko hawawi kwenye unifomu au kwa vikundi hivyo ni Jino kwa jino.
 
Hata jambazi anapoiba unakuwa na mkwara mpaka atoroke .wanataka watu wasijishughukishe na kudai haki zao .
 
Mtu usipong'ata ulimi utamtukana bure.
Hivi Shein anajua ukibaraka?
Kwani hatujui kwanini Bilal alitoswa na yeye kupewa?
One day democracy will prevail.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewatahadharisha wanaojiandaa kuleta vurugu visiwani humo kwamba wasije kuilaumu Serikali kwa hatua itakazochukua dhidi yao.

Akihutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika Kisiwandui Zanzibar jana, Dk Shein alisema:

“Tutailinda amani kwa gharama zozote na tutamdhibiti yeyote atakayeleta vurugu…
niliambiwa kuna watu wanataka kuleta vurugu,nasema walete hizo vurugu kama wana
ubavu.”

Alisema CCM itaendelea kutawala Zanzibar licha ya vibaraka wa ndani kutumika kutaka kukiondoa chama hicho madarakani.

“Mtaiona hivihivi CCM ikiendelea kutawala licha ya majaribio ya vibaraka kutaka kuing’oa,
kwenye nchi nyingi vibaraka wamefanikiwa kuviondoa vyama vilivyoleta ukombozi lakini
kwa Zanzibar mtaiona hivihivi,” alisema.

Aliwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye uchaguzi wa marudio Machi 20.

Kama walisha tamka CCM itaendelea kutawala Zanzibar yanini Uchaguziiiiiiiiii? si waendeleee kuitawala zanzibar tuu kama walivyo amua kufanya hivyoooo

My Take;

Why do we have to waste our time for re election wasting 9Bil again jamani huu sindio Utawala wa kimabavu Ugaidi wanao usema wakina Lusinde
 
Huo uchaguzi ni kupoteza fedha tu. Hapa ile sera ya kubana matumizi haifanyi Kazi eeeh
 
Back
Top Bottom