Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,122
Afadhali maana watu walishaanaa mbona china hayupo kweny magari ya umeme.
Bro, hii kitu 🙌
Hichi ki Dolphin ndio kizuri kutambia mjini 🤣
Huyu ndio mshindani wa Tesla ambaye anataka amtoe sokoni kwa kigezo cha Bei 🤣🤣🤣