Makampuni ya Simu na nyie gomeni

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
When you see an opportunity take it.

Our government has proven very weak in handling issues.

Issue ya mafuta inaathiri Uchumi kwa kiasi kikubwa sana.

1. Ni mitambo mingapi imefungwa kwasababu ya ukosefu wa mafuta.

2.Ni magari mangapi yameshindwa kusafirisha Bidhaa.

Kama Data za Economic growth zingekua zinatoka kwa Mwezi, singeshangaa kuambiwa in the month of August 2011, we had a Positive economic growth.

Naomba nyie makampuni ya simu mzime mitambo yenu. Ishinikizeni hii Serikali ipunguze kodi. na itapunguza tu.
 
Wa kugoma ni wananchi...
 
Wa kugoma ni wananchi...

Sitegemei hili kutokea kabisa. Watanzania hapana hapana.

Kama ni wakugoma tungegoma zamani sana. Mnakumbuka haya:

1. EPA
2. Majengo pacha ya BOT, Lyumba anafungwa 2yrs!!!!
3. Mauwaji Nyamongo.
4. Jairo anapitisha bakuli Kwenye Taasisi kuhonga bajeti ya Wizara ya Nishati ipite.
5. Malipo ya Tanesco Dowans
6. Rada
7. Uhalali wa mali za yule mshkaji anayeishi kimjinimjini.
 
kwa Tanzania kugoma wala kuandamana si tarajii hata kidogo, labda mashekh na mapadri waamue kugoma, huwa tunaandamana kwa mambo madogo sana ya nayahusu dini, bali si kwa mambo ya msingi ya taifa kiujumla. Kweli wadanganyika ni punda
 
When you see an opportunity take it.

Our government has proven very weak in handling issues.

Issue ya mafuta inaathiri Uchumi kwa kiasi kikubwa sana.

1. Ni mitambo mingapi imefungwa kwasababu ya ukosefu wa mafuta.

2.Ni magari mangapi yameshindwa kusafirisha Bidhaa.

Kama Data za Economic growth zingekua zinatoka kwa Mwezi, singeshangaa kuambiwa in the month of August 2011, we had a Positive economic growth.

Naomba nyie makampuni ya simu mzime mitambo yenu. Ishinikizeni hii Serikali ipunguze kodi. na itapunguza tu.
hata mimi nilikuwa nawaza kama wewe!!!!!!!!!!!!!!

tupate adhabu ya nguvu then kikwete aone umuhimu wa kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom