Hao wanaochochewa wapigane vita hawana akili ya kujua kwamba wanachochewa?Makampuni mengi ya US yanatoa pesa nyingi kwa wabunge na maseneta wao ili waweze ku influence sera ya mambo ya nje ya Marekani na kuchochea vita ili wauze silaha kuanzia ndege vita, helicopter, drones, makombora , manowari , meli , mizinga na ndipo wapate faida ingawa wana biashara kubwa nyinine kama hao Boeing, Rolls Royce, Airbus na General Dynamic ambao sana wanatengeza ndge binafsi Gulfstream
Bado ujakua kiakiliHao wanaochochewa wapigane vita hawana akili ya kujua kwamba wanachochewa?
Hao wanaochochewa wapigane vita hawana akili ya kujua kwamba wanachochewa?Bado ujakua kiakili
Keep sucking
Jifunze Geo Politics,Hao wanaochochewa wapigane vita hawana akili ya kujua kwamba wanachochewa?
Bado haujajibu swaliJifunze Geo Politics,
Kama unapenda kusoma tafuta kitabu kinaitwa The Shadow World, Inside the Global Armss Trade cha Andrew Feinsten
Fuatilia historia ya US na vita vyake kuanzia WWi, WWII , Korea, Vietnam, Grenada, Panama, Iraq vs Iran , Gulf War, Balkans, Afghanistan, waasi wa Angola, DRC Congo Siera Leone, Gaddafi na Iraq ujue chanzo ni nini na mauzo ya silaha yalivyosababishwa na vita kwa sababu za rushwa, political kickbacks, na pesa za kufadhili ugaidi na harakati za kisiasa za wanasiasa wakubwa
Fuatilia maisha ya George Bush na VP wake Dick Cheney aliyekuwa Rais wa US alikuwa ana share kwenye kampuni zipi kati ya hizo
Israel wametumia vita yao na Gaza kama sehemu ya ku test silaha na hata Russia na Ukraine ni maonesho ya silaha za kisasa
elewa maana ye neno "Influence"Bado haujajibu swali
Hao wanaochochewa wapigane vita hawana akili ya kujua kwamba wanachochewa?
Tuchukulie mfano vita za Afrika kama DRC, Somalia n.k. Kama suala ni kutengeneza kiwanda cha silaha na kuchochea vita upate wateja. Kwanini Afrika tusitengeneze viwanda vya silaha harafu tukawachochee wazungu wapigane vita na kuwauzia silaha
Hao wenye hiyo influence walilala na kuamka tu wakawa na ushawishi huo?elewa maana ye neno "Influence"
Unaweza ku influence siasa za ndani za Ulaya na Marekani?
Ninapokwambia Geopolitics ni neno pana sana
Nchi za Mali, Burkina Faso na Niger wameondokana na ukoloni mamboleo wa France , unaona shida wanayopata?
Tanzania tu hapa tulitaka kuanzisha kiwanda cha kuchenjua makinikia ya madini, umeona shida iliyokua?
US anapiga vita South Afrika kwa sasa anadai ubaguzi unajua chanzo ni nini?
Venezuela anadaiwa kuingiza madawa ya kulevya US, unajua chanzo hasa ni nini?
Ukiwa maskini au huna powers of influence wakija wenye powers zao ni rahisi kuingiliwa
Nigeria wanapewa fedha kupambana na Boko Haram na Boko Haram hao hao wanapewa misaada ya fedha kununua silaha na US kupitia USAID
EGypt ina uwezo mkubwa wa kutengeneza silaha lakini anapewa msaada mkubwa wa kijeshi na kifedha na US zirudi kwao kununua silaha
System ya uuzaji wa silaha imeshikwa na wadau wakubwa wafuatao
Ili uweze kuwa na kiwanda inabidi uwe na influence kwa watu hao wote na hivyo unavyoviona unaona nani anaongoza na yuko wapi
- Serikali kuu za nchi husika (US, UK, China) na hasa uongozi (angalia tofauti ya Democrats na Republican US, Tory au Labour UK) uliopo wakati huo
- Makampuni ya kutengeneza na kuuza silaha Lockheeed, Boeing, Airbus, CINRON na wengineo na wanasiasa wanaoshabikia au lobbying inayofanywa na mashirika husika
- Mashirika ya kijasusi CIA, Mossad, KGB., M16 wanaingilia siasa za ndani za nchi husika
- Madalali wa silaha, Dealers, Brokers na Middlemem kina Lugumi, Kizigha nk hawa ndio wanahonga wanasiasa pesa ndefu na chafu(kickback au cha juu) za kuuziwa silaha
- Madikteta wanaonunua silaha kuua raia zao na kuchochea uasi jirani au ndani ya nchi, Sa100, PK, Mu7 nk
- Mitandao haramu ya mabenki, kampuni za nje Offshore na Shell Companies wanaoshawishi viongoz kuficha pesa za rushwa ya manunuzi ya silaha
- Migogoro inayochochewa na wanasiasa na wafadhili, una create demand na demand ina create supply kutoka viwandani
Tanzania tuna kiwanda kipo cha vifaru na magari Nyumbu na kile cha Morogoro , ushawahi sikia au kuona product zao zaidi ya risasi na small arms?
Hao wenye hiyo influence walilala na kuamka tu wakawa na ushawishi huo?
Kwenye historia kila jamii ilishawahi kutawaliwa. Tupo hapa sababu tumekosa uwezo wa kumaliza matatizo yetu wenyewe.
Bunge la marekani aliku-infkience watu wapigwe risasi Mo29. Mtoto wa Trump akuwalingishia dola wananchi wa Tanzania na kuwaonyesha dole la kati.
Kutokana na matukio hayo mawili tu, vijana ambao wanasota bila ajira na ambao ndugu na jamaa zao waliouawawa Mo29. Wakipata silaha na kuamua kudai haki in brutal way utasema mzungu ametuchochea?
See you around, next time try to be better than today.I thought we had an intellectual discussion but it is turning out to be a baby sitting of someone else's emotions
I have exceeded my daily nonsense quota,
Logging out!
by then you'll have grown and be more rational than emotionalSee you around, next time try to be better than today.