Flight kuchelewa ni kawaida. sema sababu ni nini? Usiunde ya kwako. Uliambiwa sababu ni nini?Waliambiwa watapandia arusha. Baadae wakaambiwa kia. Kufika huko wakakaa masaa 3 kusubiri bodi member wa NSSF. Ila hakuweka ushahidi wa hata siku ya safari yake so alidanganya
Rudi swali la kwanza kuhusu idadi ya wafanyakazi na mahitaji ya hizo ndege. Kwahiyo walinunua wakiwa hawajui nani mteja wao? Pathetic.Naona huelewi maana ya agizo la waziri. Unarukia tu! Jiongeze kidogo tu.
Kama unakwenda Kilwa kuangalia ngalawa, tumia hata ungo wako na hakuna lawama kwa yeyote, lakini kama unasafari unayotumia pesa za serikali kwa kazi ya serikali, hakuna afisa manunuzi atakaye thubutu kukimbilia huko unakodhani wanakupa raha.
Kama uko kundi ambalo halitegemei kulipiwa na serikali safari ya kikazi, acha kujadili hili.
Balaa kubwa. Wengine wanajengaga fensi kabla ya nyumba wanasahau lengo la awali la kiwanja ni yeye kuishi na sio kuzuia wizi.Tatizo la kujenga Paa kabla ya Msingi
Kama hujapata logic ya hilo swali we ndo ujikagueSorry, Uko darasa la ngapi? naogopa kujadili na mtoto wa kindergarten.
Si 7bu yangu. Waliambiwa uwanja hautoshi. Nchi haiishi vituko hii. Wenzio kina barafu waliotetea hizi ndege huwaoni kwenye hizi nyuzi sku hizi. Nawewe ni muda tu utachoshwa. Muulize Rweye jinsi haamini kilichotokea ishu za maafa huko Kagera.Flight kuchelewa ni kawaida. sema sababu ni nini? Usiunde ya kwako. Uliambiwa sababu ni nini?
Labda kulikuwa na stream jet wind!
Waangalie hata FastJet au kampuni zingine..Hawa jamaa wapuuzi Sana, juzi nataka kukata tickets pale kwenye website yao nikashangaa mwishoni naambiwa ku LOG IN ili nipate tickets, eti wanauza tickets zao kwa members only. Upuuzi kama huu unafanyika kama huduma inatolewa bure lakini sio kwenye shirika la kibiashara ambalo Mteja ni mfalme. Kwa nini nijisajili kwenu, mnafaidika nini na huo uanachama wangu badala ya kunipa tickets niwape hela nisepe. Only in Tanzania
Wazalendo tupi tena wengi tu tutazioanda. Nakumbuka niliwahi kufanya kazi navwaswed. Ole wako umkatie tiket nyingine zaisi ya Aitr Tanzania. Lakini waTanzania wenyewe kawana mwanzo mwisho dah.Arusha walikua wanapita na hiace wanatangaza maeneo ya ngarenaro kuhimiza watu wapande hayo madege kipindi yameingia. Pathetic. Ngarnaa??
Kinachofanyika kwenye hilo shirika ni kulihujumu,kwahiyo hayo yanayofanyika ni makusudi ili lisimudu kushindana na wale wengine.
Tatizo serekali kujaza watu wa dini moja tuu kwenye kila idara na teuzi zake.Yaani acha tu.. Wameshindwa hata kumlipa millard ayo Buku kumi aweke hata kabango Kwenye ule ubao wake wa umbeya?
Umeambiwa ndege ilisubiri board members. Na bado unaongea habari ya majet wind? Au ndo kutetea kila kitu? Hapa ni wazalendo wanalilia shirika linavyo endeshwa kizembe wakati serikali ina nia nzuri ya kulifufua. Bila kubadirisha aina ya watendaji walio na mawazo ya kizamani, hili shirika litarudi kulekule. Kumbukeni hata JK aliapoingia madarakani alikuwa na nia ya kulifufua kwa kiasi fulani. Nakumbuka aliweka mkurgenzi mpya akaingia kwa mbwembwe nyingi. Na mtaji wakapewa over 4b. Waliishia takukuru. Yasije yakajirudia sasa. Serikali iwapime ATCL kila baada ya miezi mitatu ili kama kuna harufu ya uozo urekebishwe haraka na asiangaliwe mtu usoni. Hapa kazi tu.Flight kuchelewa ni kawaida. sema sababu ni nini? Usiunde ya kwako. Uliambiwa sababu ni nini?
Labda kulikuwa na stream jet wind!
Ikiwezekana wafanye Analysis ya Average Number of passengers per flight per station.Average ikishuka sana waliokuwa Duty siku hiyo wabanwe.Kwa kuangalia Trend ya passengers na watu wanaokuwa Duty unaweza pata picha kidogo ya wapigaji.Boarding pass zinajazwa kwa wino wa mkono!! Hakuna tiketi kama unapandia uwanjani. Ukienda ofisi zao pale arusha wanasema ndege imejaa, nenda uwanjani ubahatishe kama yupo ambaye hatasafiri. Ukifika kuna nafasi kibao. Unalipa, hupewi tiketi! Pesa zinaingia mifukoni mwao. Wizi wizi wizi. Ushahidi ninao.
Kwa hiyo ina maana hao wasioenda na kasi hawajatambuliwa ila anataka 'wajitambue' na kukaa pembeni! Na kama anawajua ni kwa nini asiwakalishe pembeni kwa mamlaka aliyokabidhiwa!?Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.