Makamba yu njiani kujiuzuru?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,194
79,427
taarifa zilizonifikia hivi punde kuna ushawishi mkubwa kutoka NEC juu ya Makamba kutoendelea na wadhifa wake wa Ukatibu Mkuu! Mkutano wa NEC ulio mbioni kufanyika huenda utamtema kutokana na vuguvugu kubwa la kumtaka aachie ngazi haswa kuhusiana na sakata la Arusha! Tega sikio kuskia zaidi
 
duu.. haribu haribu yake ndio ilikuwa inasaidia .... tuombe mungu wamweke kilaza mwingine kama Chiligati
 
Daah bora aende...ila sitashangaa akipewa ubunge wa kuteuliwa..mana hapa ni kubebana kwenda mbele....
:smile-big:
 
hakuna mwenye ubavu wa kumwondoa huyo mzee,ccm ni chama cha ajabu sana wanauoga wa kufa mtu hata kwenye vikao vyao ukionekana unapingana na meza kubwa utashughulikiwa,ni hoja gani imewai kuletwa nje ya agenda mtoaji akabaki salama?ukiona hoja imetoka nje ya agenda na ikabarikiwa ujue ilikuwa ni yao ila wanazuga,mfano mwaka jana suala la sita kumvua uanachama.
 
Hakuna wa kumtoa pale,hayupo kabisa;kazi za chama (sio za maslahi ya nchi) anapiga vizuri kulingana na position yake
 
Makamba huwa namuombea kila siku aendelee kuwepo ili amlizie kazi yake ya kuiua CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom