Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Mbona mnyika ndiyo alikuwa wa kwanza kudai kuwa makusanyo kwenye makampuni ya simu na watumiaji kwa ujula hayatoshi bora yaongezwe.Makamba acha unafiki ile siku ya kupitisha bajet spika alikutaja kwa jina na wewe ukajibu kwa kinywa Chako Ndiyooooooo! Sasa leo unataka kujiosha kua ulipinga, huo ndio unafiki wenyewe