Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,263
- 24,674
Makamba ametokota bigtime!anaomba msamaha kwa wananchi sasa?ana wazimu yeye alikuwepo na alifanya vikao vyoote vya kuandaa hiyo kodi,na alichangia data nyingi sana,leo anajifanya kumlaumu Mnyika!ajipange upya Bumbuli!nguvu ya umma yaja huko huko!hatutaki unafiki!