Makamba atoa zawadi ya Nguruwe

Status
Not open for further replies.
chee%20018.jpg

Kumbe anafuga.
 
Ndugu Muse A Muse Umesema kweli lakini kuhusu huyu Kada Makamba sio kiongozi wa Dini ya kiislam huyu ni kiongozi wa Chama au lugha nyingine ni Mwanasiasa hausiani na mambo ya Dini hata kama kada Makamba aliwazawadia Punda wanafunzi wa shule Hatawadhuru Waislam kwani Dini ipo pale pale yey ni kiongozi wa mambo ya siasa sio kiongozi wa Dini tusichanganye Dini na Siasa kama alivyosema Baba wa Taifa Seriakali ya Tanzania haina Dini wala Haifuati Dini yoyote mtu yoyote ana uhuru wa kuabudu Dini aitakayo hakuna wa kulazimishwa kuingia Katika Dini kila mtu Atabeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu mwache Kada Makamba Mwenyeezi Mungu anamwamngalia iko siku Mungu atamtia kada makamba mkononi ndio itakuwa mwisho wake.

Wewe kama MziziMkavu ni lini utaanza kutoa zawadi ya Nguruwe? Uweke Uislam pembeni.
 
Kwanza mnenikumbusha sijala huyu mnyama kitambo leo atanikoma...
Kwani huyu mzee amekula mnyama?
 
Nasikia Mwinyi alisema "Imeandikwa MSILE, ila mwaweza kufuga".

Tulipokuwa Mazengo Secondary, tulikuwa na NGURUWE wa mwezi wa kwanza (form 1) na wa mwezi wa saba (form 5). Na kisa hasa ni kuwa kweli tulikuwa na nguruwe na Mbuzi wajinga sana. Watu walisoma na wakamaliza. Siku ya kuuwa nguruwe, jamaa walienda mbali na mabweni na huko wanamuuwa na kupikia au kuchoma nyama mishkaki. Wakirudi wanatoa tu nyama kwenye meno.......
 
Hello Kinehe Mwadila Umechoka kuheshimu wenzako? unazungumza kama mtu aliye kunywa maji ya Toilet wewe Kinehe Mwadila Mimi nisitafute zawadi ya kuwapa Wanafunzi wa shule niwape kitu kichafu kama Nguruwe? wewe niambie kwenye Dini yenu Mmeruhusiwa kula nyama ya nguruwe? Angalia hapa Soma Kumbukumbu la Torati/ Chapter 14 8. (Na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse). Sasa hebu niambie Mmeruhusiwa nyie mnaosema Wakristo kula nyama ya Nguruwe wapi katika Biblia imeruhusu kula nyama ya nguruwe? Ukimuona Mkristo anakula nyama ya Nguruwe huyo Mkristo hamufuati Bwana Yesu Kristo huyo Mkristo anayekula nyama ya nguruwe anafuata Mafundisho ya Mtume Paulo,na huyo Mtume Paulo hakuwa Mwanafunzi wa Bwana Yesu Kristo upo hapo na mimi Ndugu Kinehe Mwadila?
 
Mkuu nimemuuliza rafiki yangu ambaye ni jirani yake huko wazo na hasisikii harufu wala sauti za nguruwe ... au anawaficha underground?

Kiongozi

Mzee anafuga Nguruwe Kule Tegeta kwenye Shamba lake, endelea ulizia vizuri. Hii iko wazi sema siko huko siku hizi ningekuwekea uthibitisho hapa.
 
wewe niambie kwenye Dini yenu Mmeruhusiwa kula nyama ya nguruwe? Angalia hapa Soma Kumbukumbu la Torati/ Chapter 14 8. (Na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse).Sasa hebu niambie Mmeruhusiwa nyie mnaosema Wakristo kula nyama ya Ngu ruwe wapi katika Biblia imeruhusu kula nyama ya nguruwe? Ukimuona Mkristo anakula nyama ya Nguruwe huyo Mkristo hamufuati Bwana Yesu Kristo huyo Mkristo anayekula nyama ya nguruwe anafuata Mafundisho ya Mtume Paulo,na huyo Mtume Paulo hakuwa Mwanafunzi wa Bwana Yesu Kristo upo hapo na mimi Ndugu Kinehe Mwadila?

MziziMkavu, Stop Deceiving people if you have not read the bible properly
The Bible is very clear about this issue. Rear 1 Timothy Chapter 4 Verse 1 to 5

"1 Now the Spirit (of God )speaketh expressly, that in the latter times some shall depart from the faith, giving heed to seducing spirits, and doctrines of devils;

2Speaking lies in hypocrisy; having their conscience seared with a hot iron;
3Forbidding to marry, and commanding to abstain from meats, which God hath created to be received with thanksgiving of them which believe and know the truth.
4For every creature of God is good, and nothing to be refused, if it be received with thanksgiving:
5For it is sanctified by the word of God and prayer. "

The bible can not be clearer than this. Every creature can be eaten; nothing is to be refused period!
You are free to eat or not to eat, but do not mislead people.

So please make sure you are the one to spread doctrines of demons around
 
suala la nguruwe makamba halipendi kuna mwandishi anaitwa patrick chambo aliwahi kumpongeaza kuwa zawadi ya nguruwe aliyotoa kwenye shule ya kifungilo imekuwa ya manufaa kwani wamekuwa wengi makamba aliwaka kinyama akatishia kutumia mamlaka yake wakati huo akiwa mkuu wa mkoa wa dar amweke chini ya ulinzi kwa masaa 24 lakini watu aliokuwa nao walimuombea mwandishi huyo msamaha hivyo suala hili tulijadili kwa taratibu mwenyewe halipendi
 
Sa alitoa zawadi ya Nguruwe ya nini kama hataki?
 
Kada Makamba alinukuliwa na gazeti la Msema Kweli Toleo Na. 040, hivi: "Makamba atoa zawadi ya nguruwe kwa shule".

Licha ya Mwandishi wa gazeti hilo kushangaa kwa kitendo hicho cha kada huyu kutoa nguruwe ambayo imeharamishwa na Mungu ni kudhihirisha yale Waislamu waliyokuwa na shaka nayo kuhusu Uislamu wake wakati anafanya mambo kinyume, sio kwa bahati mbaya, ila ni kwa jeuri na kibri ya utawala wa dunia.

Waislamu siku zote tumelalamika kuhusu kuzagaa kwa nguruwe na mabucha ya nyama ya nguruwe bila mafanikio, leo katudhihirishia kwamba kufuga nguruwe ni sera maalum. Vipi shule ambayo haifugi wewe uamue kutoa nguruwe halafu uhimize Waislamu kupeleka watoto wao waje. Siku wakipangiwa kusafisha zizi nani alaumiwe?

Waislamu tumepata madhila mengi juu ya huyu Bwana tangu awe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Mtume (s.a.w.) anasema Muislamu wa kweli ni yule ambaye Waislamu wenzake wanasalimika na ulimi wake na vitendo vyake.

Yeye alikuwa mtu wa kwanza kuwatuhumu Waislamu kuiba bia wakati wa vurugu za Mwembechai, kasema tumekamata silaha Msikitini, kumbe ni vigingi vya jukwaa si hilo tu wakati anafungua Bia mpya aliwahi kusema kuwa Watanzania kunyweni Bia hii kwa wingi ili serikali ipate kodi kwa wingi.

NASAHA: Ndugu Luteni amedai mtu asitawaliwe na dini bali yeye aitawale dini; watu wanasema ukistajaabu ya Musa utaona ya Firauni, lakini mimi nasema "ukistaajabu ya Firauni utaona ya Musa, kwanza yeye sio kiongozi wa dini yoyote wala si kiongozi wa taasisi ya dini kwa hiyo fatwa yake inamrejea yeye mwenyewe.

Kama ni umaarufu wengi wameutafuta, lakini dunia wameiacha, uhai ni kama mvua, leo mafuriko kesho ukame, yeye adai tusitumie kigezo cha dini kujenga tofauti zetu.

Je, mbona hawaambii chama tawala wasitumie chama kujenga tofauti na vyama vingine mbona amekuwa mstari wa mbele kuviponda vyama vya upinzani. Je, yeye haoni anazidisha tofauti? Je, mbona kama ni msuluhishi mzuri mbona haendi kuchangia vyama upinzani.

Je, umoja unaletwa kwa kulazimishwa matakwa yako katika dini. Mungu anasema: "Na wanapokuwa na walioamini husema tumeamini na wanapokuwa peke yao kwa mashetani wao husema "Hakika sisi tu pamoja nanyi tunawacheza shere tu" (2:14)

Usifikiri Mungu ameghafirika na yale wanayoyafanya watu madhalimu Hakika Yeye anawangojea siku yatakapotoka macho.

Haki iko juu wala haikaliwi Mungu ndiye Mjuzi, mtambuzi, mwenye nguvu, mshindi, mfalme wa wafalme. Kwake hakuna kugeuka geuka haramu ni haramu na halali ni halali.

"wakati wa mfungo wa ramadhani au Idd guest nyingi huwa hazijai, baa nyingi huwa hamna mauzo na ile mitaa yetu ya Ohio na kinondoni kazi zetu za usiku huwa zina dorola, why? kwanini?.Msisingizie nguruwe jamani kwamba ni haramu, je hayo yote niliyoorodhesha hapo juu, Mungu ameyaruhusu? na kwanini wakati wa mfungo wa ramadhani au Idd yadolole?.Kazi kwenu msizingizie kiti moto.
 
Hello Kinehe Mwadila Umechoka kuheshimu wenzako? unazungumza kama mtu aliye kunywa maji ya Toilet wewe Kinehe Mwadila Mimi nisitafute zawadi ya kuwapa Wanafunzi wa shule niwape kitu kichafu kama Nguruwe? wewe niambie kwenye Dini yenu Mmeruhusiwa kula nyama ya nguruwe? Angalia hapa Soma Kumbukumbu la Torati/ Chapter 14 8. (Na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse). Sasa hebu niambie Mmeruhusiwa nyie mnaosema Wakristo kula nyama ya Nguruwe wapi katika Biblia imeruhusu kula nyama ya nguruwe? Ukimuona Mkristo anakula nyama ya Nguruwe huyo Mkristo hamufuati Bwana Yesu Kristo huyo Mkristo anayekula nyama ya nguruwe anafuata Mafundisho ya Mtume Paulo,na huyo Mtume Paulo hakuwa Mwanafunzi wa Bwana Yesu Kristo upo hapo na mimi Ndugu Kinehe Mwadila?

Nawe soma hapa...., Mathayo 15:10 "Sicho kiingiacho kinywani humtia mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi!
 
Hello Kinehe Mwadila Umechoka kuheshimu wenzako? unazungumza kama mtu aliye kunywa maji ya Toilet wewe Kinehe Mwadila Mimi nisitafute zawadi ya kuwapa Wanafunzi wa shule niwape kitu kichafu kama Nguruwe? wewe niambie kwenye Dini yenu Mmeruhusiwa kula nyama ya nguruwe? Angalia hapa Soma Kumbukumbu la Torati/ Chapter 14 8. (Na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse). Sasa hebu niambie Mmeruhusiwa nyie mnaosema Wakristo kula nyama ya Nguruwe wapi katika Biblia imeruhusu kula nyama ya nguruwe? Ukimuona Mkristo anakula nyama ya Nguruwe huyo Mkristo hamufuati Bwana Yesu Kristo huyo Mkristo anayekula nyama ya nguruwe anafuata Mafundisho ya Mtume Paulo,na huyo Mtume Paulo hakuwa Mwanafunzi wa Bwana Yesu Kristo upo hapo na mimi Ndugu Kinehe Mwadila?

Taratibu mkuu, jazba haita saidia kitu hapa.

Tatizo ni kuwa ninyi waislam ni walongo na wanafiki wakubwa. Mnajifanya ahmli nguruwe, kumbe ni unafiki mtupu, hivi kula nguruwe ndio dhambi kuu kuliko zote?
 
Hivi umeshau kuwa wakati swine flu inaingia Waarabu walikuwa watu wa kwanza kuchunja nguruwe wao. Sasa wanamfugia nani hawa, si ndio unafiki wenye huu.
 
Who cares??? Makamba anatafuta kura kura na kula tumbo mchumia tumbo...atafedheka atafedheheshwa tutasikia mengi kutoka kwake..ameshaimba mapambio akaona haitoshi atatoa nguruwe, haitatosha atatoa kingine na kingine.......he is crap from serious islamic scholars point of view
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom