Makamba atoa zawadi ya Nguruwe

Status
Not open for further replies.
Who cares??? Makamba anatafuta kura kura na kula tumbo mchumia tumbo...atafedheka atafedheheshwa tutasikia mengi kutoka kwake..ameshaimba mapambio akaona haitoshi atatoa nguruwe, haitatosha atatoa kingine na kingine.......he is crap from serious islamic scholars point of view

It seems you do care.
 
Mwawado kweli umenena huyu mzee kuna kipindi alikuwa mtu wa karibu sana kwangu, kipindi hicho wala sikujua huyu mzee Makamba ni dini gani.Maana kwenye islam hayupo kwenye ukristo hayupo. Maana kama bible anaijua kweli kweli, hata mie na ukristo wangu sijamfikia bado. Kila atakapoongea lazima aseme mstari wa kwenye bible.
Hivyo si ajabu hata kama ametoa kweli zawadi hiyo nguruwe.
Wana jina lao wanaitwa "WANAFIKI" (hypocrites) huko wapo kule wapo...ukifikia level hii unakuwa sawa na fisi au chini ya hapo unaweza kufanya mambo ambayo shetani hawezi kufanya..mchuumia tumbo.
 
Of course, Tumain does, ndio maana anaumia kichwa.
Ndiyo kwanza nakunywa chai yangu...wala kichwa hakiniumi..Makamba is a scrap..atafedheeshwa..unajua wanafiki wanavyokuwa ...soma biblia adhabu ya mnafiki...tumbo mbele...
 
Wewe kila saa unachungulia kwenye hii mada. Kichwa kitakupasuka kwa maumivu, hili ndilo tatizo la kufuata allah kiumbe.
 
Ndiyo kwanza nakunywa chai yangu...wala kichwa hakiniumi..Makamba is a scrap..atafedheeshwa..unajua wanafiki wanavyokuwa ...soma biblia adhabu ya mnafiki...tumbo mbele...

Mkuu mbona inaonekana kufuata dini hizi ni kufuata mikumbo au dini za wazazi?

Amefanya makamba, na yeye ndiye uislam wake unakuwa questioned, kama atahukumiwa ni yeye, mbona mnajaribu kumfanya aonekane ana makosa wakati automatically dini yenu inamuona hivyo?

Hivi ni sababu gani kutoka kwenye quran zilizotolewa mtu asile nguruwe?? wapi imeandikwa haramu? na je mbona inaruhusu kula nguruwe at some circumstances??

Nimefanya kazi na waislamu kibao, wao ndio walikuwa wananionyesha supu za kitimoto, Tanzania hii, hii

Ukitaka kupata homa na kuona dunia ya tatu wengi sio wafuasi wa dini zao, watafute wakiwa sirini

The sama applies to christians

wengi ni wanafaki, so simply mind your own issues, otherwise utakuwa confused.

Nikiwa Mbeya miaka ya 90, kuna mzee alikuwa anwahi asubuhi sana kuitaile sala yenu(adhana), lakini alkuwa anafuga nguruwe na anauza, ila yeye eti hali ni haramu!!! , je leo miaka ya 2000??????
 
Mada tofauti....haya endelea wewe kujifaraji na huyo mnafiki..

Kwahiyo mada ni kunywa chai na kiti moto.

Haha ahaha ahaha ahaha a a a

Naona hali imekuwa mbaya kwako, vipi allah ameshindwa kuwasaidia?

Vipi Muisilamu akatoa zawadi ya Nguruwe?
 
Mkuu mbona inaonekana kufuata dini hizi ni kufuata mikumbo au dini za wazazi?

Amefanya makamba, na yeye ndiye uislam wake unakuwa questioned, kama atahukumiwa ni yeye, mbona mnajaribu kumfanya aonekane ana makosa wakati automatically dini yenu inamuona hivyo?

Hivi ni sababu gani kutoka kwenye quran zilizotolewa mtu asile nguruwe?? wapi imeandikwa haramu? na je mbona inaruhusu kula nguruwe at some circumstances??

Nimefanya kazi na waislamu kibao, wao ndio walikuwa wananionyesha supu za kitimoto, Tanzania hii, hii

Ukitaka kupata homa na kuona dunia ya tatu wengi sio wafuasi wa dini zao, watafute wakiwa sirini

The sama applies to christians

wengi ni wanafaki, so simply mind your own issues, otherwise utakuwa confused.

Nikiwa Mbeya miaka ya 90, kuna mzee alikuwa anwahi asubuhi sana kuitaile sala yenu(adhana), lakini alkuwa anafuga nguruwe na anauza, ila yeye eti hali ni haramu!!! , je leo miaka ya 2000??????
Ukila nguruwe wewe siyo muislam finito...ukiuza wewe siyo musilamu finito! sasa atakayefanya kinyume cha hapo "wana majina yao tunawaita "WANAFIKI"
 
Kwahiyo unatuambia kuwa Waisilamu ni WANAFIKI. Maana karibia wooote mnakula Nguruwe.
 
Makamba amechanganikiwa kabisa. hana hoja amelewa thamani ndogo ya kiduniya na kuisahau Akhela.

Hakika Mungu atamlipa kwa yote atendayo
 
Duh mmenikumbusha.lunch lazima nikapate dinner la kitimoto choma na ugali pale hunters club bana. lol!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom