Makamba anapotumiwa kibaraka wa mafisadi!!!uvccm

Makamba anapotumiwa kibaraka wa mafisadi!!!uvccm

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Sikushangaa kusikia huyu bwana akiwa iringa kumtisha masauni ajiuzulu ai katumwa na mabwana zake vyombo vya dola....
Inashangaza sana kuona mzee mwenye umri kama huu akijifia mikononi mwa mafisadi
kwa shida ya njaa zake...namhurumia siku zote makamba kama utaendela kutumiwa ipo
siku nchi itakamatwa na wasio mafisadi na kuihsia vyombo vya dola mzee pole sana

ushauri
kama unavyopiga kelele wabunge wasitumie majina ya rais kuomba ubunge si vyema na wewe ukiwa na uzee wako kutumia kumtishia mtu kwa kutumia jina la dola..bila masauni na wenzake dola isngekuwepo hilo naomba ujue dola inaitaji kutulinda na si kututtishia

naomba upuuzi huu usitumike tena ama ccm ama kwa familia yako kutishia maisha ya mtu ..kama ni njaa zako ishia na njaa zako uko na mafisadi si sehemu ya kutuharibia chama kwa kututishia..tena ukome na sema ukome mzee makamba.....
 
jamani tusimlaumu huyu mzee, sehemu alipo pabaya
 
Tatizo ni kuwa makamba tangu azaliwe hajawahi kupata nafasi kwa kuchaguliwa, siku zote amepata nafasi za kuteuliwa tu. Sifa yake kubwa ni kujipendekeza kwa wakubwa.
 
We dont boil an empty pot expecting cheese.A proof of empty mind.Afadhali sana aendelee kikivuruga hicho chama ili kibaki kweupe bila hata vest
 
Back
Top Bottom