Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,538
Mkuu hivi umesoma vizuri kweli nilichoandika? Rudia tena kusoma hapo chini afu ndo u comment.Unaamini umma ukiamua kuandamana kuna polisi atakayethubutu kuzuia?
Wote watakimbia kunusuru maisha yao mkuu.
Rejea nchi mbalimbali namna watawala walivyolewa madaraka wakaamini hakuna mbwa atakasogea barabarani kwakuwa watatumia jeshi kuwapa kichapo lakini siku isiyotarajiwa waliacha starehe zote walizozoea kuponda nakukimbia makazi yao ya kifahari.
Tanzania hatuwezi kukubali ujingaa huu utokee mpaka pale wale wanaohimiza maandamano wawepo mbele ya mstari na familia zao.
I mean hauwezi kuandaa mandamano afu siku ya kuandamana ushinde kwenye TV na familia yako ukiwaangalia uliowarubuni wakila mkong'oto kutoka kwa polisi brutal.
vijana wa tz ni wa hovyo kabisa,hawajiamini,wako busy mitandaoni kuunga mkono mafisadi na ufisaji.wanatumiwa vibaya na wanasiasa bila kujua nini hatma yao huko mbeleni.wengine ni maskini wa kutupwa lkn wamerubuniwa na watoto wa familia za kifisadi kuunga mkono ufisadi.
Terrible, polisi wamekimbia!
Tanzania hatuwezi kukubali ujingaa huu utokee mpaka pale wale wanaohimiza maandamano wawepo mbele ya mstari na familia zao.
I mean hauwezi kuandaa mandamano afu siku ya kuandamana ushinde kwenye TV na familia yako ukiwaangalia uliowarubuni wakila mkong'oto kutoka kwa polisi brutal.
Sawa. Lakini hakuna cha sisi kujifunza toka kwa Raila Odinga. Mazingira ni tofauti kabisa. Nchi hii inazidi kuendeshwa kikomunisti. Halafu wajinga na wanafiki ni wengi mno wanaotumainia “miujiza” na “wateule toka mbinguni” kuleta maendeleo na mafanikio nchini.Mkuu wanaokebehi wana majina yao:
"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana wa hovyo."
Hawana mchango wowote kwa taifa hili.
Hao ni mzigo. Hata Kwa Odinga wapo wengine ni walamba asali kama kina Gachagua.
Iko wazi sana, nina elimu yakutosha na akili nyingi. Kama unabisha, jiunge na huyo baba yako muandamane
Poa poa wifeNaona chizi umeamka unaanza kutukana hovyo kama kawaida yako, haujakosea kuweka avatar ya mbwa maana ndio akili yako na mwenendo unashahabiana nae.
Kama vitu anavyofanya Raila kwako ni vya level ya juu, ninafunga mjadala rasmi.Kama huna elimu ya kutosha "tuongee mambo ya uganga wa kienyeji tu" -- Dkt. Mwigulu.
Haya ya kina Raila ni level nyingine mkuu.
Mkuu usimlaumu Mbowe,tujilaumu wenyewe hata Mimi ninasapoti kabisa Mbowe bora ale asali-huwezi kuwaangaikia watu wasiojielewa.Unapoteza muda wako bure kubishana na mtu ambae akili yake iko ndani ya mfuko wa suruali ya Mbowe.
Mbowe amekuwa na utaratibu wa kutembea na akili za nyumbu wake ili iwe rahisi yeye kuwadhibiti pale wanapotaka kufikiri nje ya box.
Ndio maana ni vigumu sana kukuta msukule wa Mbowe unaandika mambo ya maana kuhusu taifa, kwa vile mwamba anawa control kila kitu.
Sawa. Lakini hakuna cha sisi kujifunza toka kwa Raila Odinga. Mazingira ni tofauti kabisa. Nchi hii inazidi kuendeshwa kikomunisti. Halafu wajinga na wanafiki ni wengi mno wanaotumainia “miujiza” na “wateule toka mbinguni” kuleta maendeleo na mafanikio nchini.
Ni hadi siku idadi ya waelewa itakapofikia “critical mass” ndipo tutakaposhuhudia nchi ikifanya mambo ya maana badala huu ujinga wa kuendeshwa na propaganda muflis za kikomunisti.
Afadhali mkuu, kwani najua hata huko Lumumba kwa ujumbe huu wa Raila, nywele watakuwa wanatia maji. 🤣🤣Kama vitu anavyofanya Raila kwako ni vya level ya juu, ninafunga mjadala rasmi.
Swali rahisi tu. Lini watanganyika/watanzania kwa ujumla wetu tangu tupate uhuru tumeandama kwa kudai au kupigania maslahi ya nchi especially madai yawe kinyume na uongozi. Ndio tuanze leo? Thubutu!!. Huu ndio ukweli mchungu. Chadema walijaribu kuhamasisha maandamano, yakafeli. Mange naye alijaribu, akashindwa. It has nothing to do na makamanda. Ni hulka yetu wa TZ.Sisi siyo waoga na issue ni sisi makamanda:
1. Kwanini tunahangaika na vijana wa hovyo? Kuwalalamikia waoga ni kuhangaika na vijana wa hovyo.
2. Raila hataki wavae dare za vyama kwa suala la wakenya. Tusinyoosheane vidole hapa. Hili si la Chadema, ACT, CUF au Rungwe. Hili ni la watanzania.
3. Tusimkere anayeweza kuwa mshirika. Tuwe na Kauli thabiti za kuwaongelea watanzania siyo kuwakwaza
4. Nk
Rejea #1 - #9 pale kuona tunapokwama.
Mkuu usimlaumu Mbowe,tujilaumu wenyewe hata Mimi ninasapoti kabisa Mbowe bora ale asali-huwezi kuwaangaikia watu wasiojielewa.
Jamaa ameanzisha mavugu vugu mengi akakosa support ya watu inataka yeye afanyaje?
Na hajawahi kupigwa risasiOdinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza [emoji28][emoji28]
Odinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza 😅😅
Na hajawahi kupigwa risasi
Ready to dieVitu kabila hii ndiyo tunapaswa kujifunza kwa ari mpya.
Ready to die
Gas kidogo anajificha