Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Zitto kafanya siasa za ujanjaujanja na ulaghai kwa muda mrefu,kapoteza future za vijana wengi kwa kuwarubuni ili mradi tu yeye afike kileleni na sasa kabaki kutapatapa.MSHAURINI AWAHI NAFASI ACT,HUKU UKAWA HATUHITAJI VIBARAKA,WASANII,VIGEUGEU NA WASALITI.
 
Zitto ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo automatically ni mwana UKAWA. Au we mleta mada unaelewaje?

Vp kuhusu kushiriki kuanzisha ACT? Haiwezekani mtu mmoja awe mwanachama wa vyama viwili na afanikiwe katika dunia ya leo. Huo unafiki na ujanjaujanja wa kipuuzi utamfikisha pabaya.siasa za sasa haziitaji unafiki na ulaghai kama wake!
 
Zitto ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo automatically ni mwana UKAWA. Au we mleta mada unaelewaje?

Zitto alisema yeye si mwana-UKAWA, na alidai kuwa UKAWA ni wasakatonge.

UKAWA inasonga mbele bila yeye. Je sasa anatamani kujiunga na wale aliowaita 'wasakatonge?'.

Sasa amemruka hata mzee Makaidi. Loooooo...
 
Zitto kafanya siasa za ujanjaujanja na ulaghai kwa muda mrefu,kapoteza future za vijana wengi kwa kuwarubuni ili mradi tu yeye afike kileleni na sasa kabaki kutapatapa.MSHAURINI AWAHI NAFASI ACT,HUKU UKAWA HATUHITAJI VIBARAKA,WASANII,VIGEUGEU NA WASALITI.
Wewe uko huko kupitia chama gani,pengine wavyama wengine wako tayari kumpokea.
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.

Huo ni 'muono' wako, sio wa 'vijana wengi wa nchi hii' kama unavyodai. Hoja uliyoitoa ni nzuri, lakini usiihalalishe kwa kutumia 'muono' wako kama muono wa unaowaita vijana wengi wa nchi hii.
 
acha masihara, ww ni fisadi, ama mtoto wa fisadi

Msaliti atafaa kwa shughuli gani??? ananjaa kama chatu, mlafi kama fisi, sio shujaa tena duniani ya vijana wa leo, mfitina na mwenye uchu wa madaraka hata kama itagharimu taifa zima, shame on him and his stupida supporters
 
Kweli sisi binadamu wabaya hatuna wema! Wabaya kiasi cha kuua mtu!!hivi nyie watu wote ambao mnamnyooshea zito kidole huku vidole vinne vilivyosalia vikinyooshea nyuso zenu, mnaweza dhibitisha bila shaka na Kwa ushahidi unafiki na usaliti wa zito?
Nani amesahau kwamba isingekuwa zito huyu huyu na silaa kipindi kile chadema isingefika hapa ilipo, yaani hatuna shukurani? ?!bila zito kusingekuwa na wabunge 45 wa chadema, zito huyu huyu mnayemtusi akiwa na silaha bungeni aliisimamia chadema vizuri wakati wa kashfa ya Richmond, wakati akikosoa mawaziri na kusema'wanatoa majibu ya hovyo hovyo tu' alishasimamishwa kuhudhuria bunge.bila zito na silaa kusingekuwa na tundu lisu wala mnyika. ...watu waliikubali chadema kwa kazi nzuri ya zito.
Zito kisa ambalo liko wazi ni yet kutaka uenyekiti lakini pia inawezekana anamakosa mengine ambayo adhabu yake tofauti na kumfukuzwa ingetolewa. Mnataka kuniambia kuna kiongozi malaika? Ukimfuatilia mboye mwenyewe unaweza kushangaa uchafu alionao. .mathalani chadema haina hati safi ya matumizi yake ya pesa, mchawi akamatwe na afukuzwe kwenye chama. Mtu anaonywa anakemewa nakupewa adhabu si kufukuza! !
 
Zitto need a break from Party Politics na atakaporudi atakuta hili wingu jeusi la usaliti lililofunika siasa zake za kitoto limenyesha chini! Lakini kama anaendelea ku-justify the spent cheques atapoteza muda mwingi sana!
 

Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, mwanzoni mwa 2014 kulikuwa na mgogoro kati yake na Chama cha CHADEMA.


Magazeti mengi yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kabwe kurudi tena CHADEMA, hali iliyomfanya Zitto afunguke kuhusiana na ishu hiyo.

“Hapana nadhani hizo ni tetesi kwa sababu sijatoa kauli yoyote kuhusiana na hilo na moja mimi bado mwanachama wa Chadema kwa sababu nina kesi mahakamani na kesi hiyo haijaamuliwa,bado inaendelea.

“Sijawahi kutoka kwenye uanachama wa CHADEMA, mtu anaposema nataka kurudi Chadema hayuko sahihi, inafahamika nilikuwa na matatizo na chama hatujaweza kuyatatua, hakuna mazungumzo yoyote ambayo yamefanyika lakini kuna baadhi ya watu wameanza kuleta hayo mazungumzo“– Zitto Kabwe
 
CHADEMA NI CHAMA CHENYE MATUNDA MEMA ndo maana zitto atakubali kuomba msamaha ili arudi CDM lakini amekubali ACT ife lakini yeye abaki kwenye ukombozi .
 
Ni juzi tu akina Mbowe walimpigia makofi na kumpongeza. Ni juzi tu walimkaribisha kwenye kikao chao cha UKAWA
 
Back
Top Bottom