BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,744
- 3,544
Ccm imeshindwa kutatua kero na kuleta maendelo yanayohitajika nchini tangu kipindi cha mkapa lakin chaajabu bado inashinda tu!
Acha mada za kipuuzi, hii post yako unataka Zitto aishiwe kutukanwa na kukashifiwa. CCM hapa walipofikia lazima watoke sio kwa Zitto kuwa cdm, cuf au Nccr, awe hai ama amekufa ni lazima ccm wang'oke. Udhaifu wa ccm na kushindwa kutekeleza matakwa ya jamii ndio sababu haswa ya ccm kun'goka na wala Sio Zitto kuwa Ukawa ama wapi. Kwani ni lazima awe ndani ya Ukawa ndio wang'oke? Anaweza kuwang'oa ccm akiwa popote kulingana na jinsi atakavyoweza kuushawishi umma kwanini awatoe ccm na ataufanyia nini umma akishawatoa ccm.
Ila wewe umekuja kiccm ili kuwaprovoke watu wajenge chuki dhidi ya Zitto kwa wewe kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Acha utoto umeshakuwa mtu mzima siasa hizi za kipuuzi peleka huko ccm kwa kina EL, Membe nk ndio wamezoea siasa za makundi na kuwekeana sifa za kijinga huku wakichafuana.