Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Zitto ametoa sharti moja tu. AELEZWE KOSA LAKE NI LIPI HASA MPAKA HATA AOMBE MSAMAHA? waache kuvuruga swali la msingi la Zitto.
 
Zitto ametoa sharti moja tu. AELEZWE KOSA LAKE NI LIPI HASA MPAKA HATA AOMBE MSAMAHA? waache kuvuruga swali la msingi la Zitto.

Kosa la Zitto ni kuutaka uenyekiti... kuna watu wanafikiri Mbowe yuko tofauti sana na viongozi wa Kiafrika wanaolazimisha kuongoza hata ikibidi kuua...
 
Tunawaamini Tunawahitaji!
 
Attachments

  • 1418057863830.jpg
    1418057863830.jpg
    27.1 KB · Views: 353
Sasa hilo nalo la kulijadiri katika mtandao? Tuwaache Zitto na Makaidi wafanye yanayowahusu
 
Kosa la Zitto ni kuutaka uenyekiti... kuna watu wanafikiri Mbowe yuko tofauti sana na viongozi wa Kiafrika wanaolazimisha kuongoza hata ikibidi kuua...
kama ni nyoka umegonga kichwani kabisa. na huo ndo ukweli mchungu kwa akina mbowe-slaa.
 
Unaamini kwa umri wa Mzee Makaidi anaweza kumsingizia ZZK??

Inawezekana mkuu Mzee Makaidi si ndo alisema CCM Inaumwa jamba jamba tena akasema alisema toka mwaka 1964 CCM itakufa
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.
 
bila kujali ID yako,naunga mkono hoja hii
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.

pole sana ndugu yamgu na zitto waku maana ukawa ni kama safina ya nuhu waliondani watabaki kua ndani nawalio nje watabaki kua nje mpaka gharika liishe
 
ivi unadhani zitto akiwa rais ataweza kumwajibisha kikwete amabaye ni rafiki yake?
 
Uharo mtupu! Who is zitto kabwe? Tena,ni rahisi sana kwa ccm kung'oka madarakani bila zitto kuwemo ndani ya UKAWA. Nasema hivi kwa kuwa Zitto ni mnafiki na msaliti,karudisha nyuma mapambano zidi ya maharamia CCM.
 
UKAWA si timu ya mtu mmoja, imesimama bila Zitto na itasimama bila Zitto kama ikibidi, je si Zitto aliyewaita UKAWA wasaka tonge? vijana hawataki viongozi vigeugeu na wanafiki.
 
Zitto ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo automatically ni mwana UKAWA. Au we mleta mada unaelewaje?
 
na ni bora mara mia ccm ikaendelea kutawala kuliko kuiondoa ccm kwa kushirikiana na zitto kabwe

sure mkuu.mleta maada husomi alama za nyakati .zitto bila ukawa hana chake hata yeye anajua ndo maana anajikomba kwa cuf.mbeleni ataleta usaliti hafai anajiona sana kuwa yeye in bora zaid
 
Back
Top Bottom