Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Zitto ameshafulia,, sasa sio Zitto tena bali ni Nyepesi,, huyo msaliti na mnafiki wala hatumtaki,,, akauze mawese kigoma
 
kwani zitto ni UKAWA si aliiwaita wasakatonge?
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.

Huo ni mtazamo wako binafsi, uraisi utapatikana bila hata ya Zito kuwemo!
 
Kama ambavyo Zitto alihitaji CHADEMA ili ajengeke na awe maarufu, sasa hivi Zitto ameona anahitaji UKAWA.

UKAWA bila Zitto ipo na imesimama imara, ila Zitto amepwaya nje ya UKAWA na anatafuta pa kuinukia.

Zitto akijiunga na UKAWA ataivuruga UKAWA, kwa kuwa daima ajenda ya Zitto ni kujijenga mwenyewe, kwa faida yake mwenyewe ya kisiasa, na si kujenga taasisi...

Watch out.

Zitto kama ni kweli ana mvuto aoneshe kama anaweza akaanzisha kitu akakisimamia mwenyewe mpaka kikakua. In short a prove umaarufu wake kwa kujenga ACT yake.
 
na ni bora mara mia ccm ikaendelea kutawala kuliko kuiondoa ccm kwa kushirikiana na zitto kabwe

I agree with you. And indeed Zitto can never be a part to the destruction of CCM or its government.
 
Kama anamvuto mchukue ukampe dada yako, Sisi tunataka kiongozi atakaye liongoza taifa bila kujali mvuto.!!!

BACK TANGANYIKA
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.

Wewe punguani Majnun, nani kakutusema vijana wa Tanzania
 
Ni vizuri Zito akaendelea kuwa ccm ili ccm ishinde!. Kwani wewe hupendi?

Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.

Acha mada za kipuuzi, hii post yako unataka Zitto aishiwe kutukanwa na kukashifiwa. CCM hapa walipofikia lazima watoke sio kwa Zitto kuwa cdm, cuf au Nccr, awe hai ama amekufa ni lazima ccm wang'oke. Udhaifu wa ccm na kushindwa kutekeleza matakwa ya jamii ndio sababu haswa ya ccm kun'goka na wala Sio Zitto kuwa Ukawa ama wapi. Kwani ni lazima awe ndani ya Ukawa ndio wang'oke? Anaweza kuwang'oa ccm akiwa popote kulingana na jinsi atakavyoweza kuushawishi umma kwanini awatoe ccm na ataufanyia nini umma akishawatoa ccm.

Ila wewe umekuja kiccm ili kuwaprovoke watu wajenge chuki dhidi ya Zitto kwa wewe kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Acha utoto umeshakuwa mtu mzima siasa hizi za kipuuzi peleka huko ccm kwa kina EL, Membe nk ndio wamezoea siasa za makundi na kuwekeana sifa za kijinga huku wakichafuana.
 
Kama ana mvuto kisiasa kwa vijana si aende ccm akaiokoe maana inataka kufa kifo cha ghafla
 
Mtoa hoja unatuchefua.
Hatutaki wanasiasa vijana wasioweza kujisimamia. Ebu jiulize maswali machache tu.
1. Kama unafikiri kuwa zitto ni kivutio BAADA ya uchafu na mbinu ovu ya kuiua CDM kushindwa amepata fursa nzuri ya kuonyesha uzalendo wake kupitia PAC lakini katika ESCROW
akawalinda washikaji wake akiwemo Mkuu wa kaya na waziri wa fedha. Kwa makusudi au kwa ushawishi wa kidini.
Huyo jamaa hafai hata kuwa ndani ya ukawa.
Jana kwa mshangao ati anapongeza ccm-cc kwa kukubali kutekeleza mapendekezo ya Bunge huku akijua kuwa mapendekezo yale ni robo tu ya wahusika. Anashindwaje kuiambia Ikulu itoe orodha ya watu waliochukua fedha taslim za ESCROW kupitia benki ya Stanbic?.

2. Uaminifu wa huyo jamaa ni mdogo mno.
 
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.
AMEKUTUMA? ACHA KUTUMIKA VIBAYA KIJANA, UKAWA si kichaka cha Maovu.....
 
Acha kujidaganya ww
Uharo mtupu! Who is zitto kabwe? Tena,ni rahisi sana kwa ccm kung'oka madarakani bila zitto kuwemo ndani ya UKAWA. Nasema hivi kwa kuwa Zitto ni mnafiki na msaliti,karudisha nyuma mapambano zidi ya maharamia CCM.
 
Back
Top Bottom