Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Ni pigo kwa ActCcm.
Yawezekana kwani hata Dr Slaa anaendelea kulipia kadi ya CCM
Wanasiasa wengi wanaotokea mkoa wa Kigoma huwa ni wasaliti, wanapenda sifa na madaraka ya haraka... refer Dk Aman Kabrou, David Kafulila, Zitto Kabwe na wengine wengi sana!
Lazima chadema wajikombe kwa zitto kwani akiondoka na chama hakipo
siyo kwamba hawapendi kuona demokrasia ikiminywa?
Ni mwanachama wa Mahakama.