Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

nitarudi naenda kunywA kwanza maana siwezi kuyajadili ya zzk hadi ninywe!
 
Mwigamba A.K.A chui aliyejambia jiwe awezi kuacha kujigamba kuwa ana maandalizi mazito ya Kumpokea Zitto na Lowasa chamani ACT
 
Hapo kawapasha akina Mwigamba na kitila, kumbe anawajua tabia zaooo. Poa ZZK wapashe wasikuchanganye hao kwani ni sawa na chui aliyejambia jiwe.

huyu jamaa ni act damu sema anasoma upepo.
 
watu wanadhani wannisaidia kumbe wananifanya niogope hata kuwasaidia.
WanaJF hii sentensi imekaaje, ina maana huwa anawasaidia kisirisiri sasa wakizidi kumweka wazi ataacha kutoa msaada.

PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA
 
Mnafiki na mla rushwa hana jipya hata moja unafiki ndiyo umemjaa.
 
WanaJF hii sentensi imekaaje, ina maana huwa anawasaidia kisirisiri sasa wakizidi kumweka wazi ataacha kutoa msaada.

PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA
Hata hela alizochukua IPTL aliwapelekea wao wakati wa kusajili chama.
 
... siku za hivi karibuni kumetokea kundi la watu wasiotumia akili kujua kwamba nina kesi mahakamani na bado mimi nahitaji kuwa mbunge mpaka nimalize miezi iliyobaki, lakini wao kwa utashi wao wanaandika na kuongea sehemu nyingi kuwa mimi ni mwanachama wa act, je ikitokea chama changu chadema kikaamua kupeleka hayo maneno mahakamani wanadhani nitabakia kuwa mbunge?...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-zitto-wetu-watanzania-mkombozi-wa-jamii.html
cc: Dotto C. Rangimoto,
 
tunatambua sana mchango wa zzk ktk kulitumikia taifa hili,i wish chama chake wakayamliza.kwani husema,adui yako ni yule aliekuwa rafiki yako awali,ila hapa hakuna uadui bali ni kushindwa kuelewna ktk misimamo.p'se viongozi wetu wa vyama malizeni hili tatizo tukomboke kwani maisha ya watu mitaani/vijijini ni mabaya sana kutokana na mfumo mbovu wa ccm,tunataka sana timu hii ikamilike zzk akiwemo.zzk tunaomba ufnye yaliyopita c ndwele.sahau wananchi wakomboke
 
Sote tunatambua Zito ni potential kwa nchi na chama,ila isiwe sababu ya kujiona special,na ubinafsi
 
SIMINYU jaribu kupost habari zenye uchunguzi ZITTO alichukua pesa IPTL weka ushahidi
acheni maneno ya Vijiweni huo ni uvivu wa kufikiria BABA
 
Mwigamba A.K.A chui aliyejambia jiwe awezi kuacha kujigamba kuwa ana maandalizi mazito ya Kumpokea Zitto na Lowasa chamani ACT

Mwigamba chui tena? Yeye ni jiwe lililojambiwa; linanuka; hiyo ndio kauli ya Msajili tuache kubadili maana.
 
Zitto akiingia UKAWA kwa Ticket ya usiyokuwa CHADEMA atauwa ukawa asubuhi kweupe,
 
Hata mimi nilielewa kama wewe.
Msajili ni chui aliyepumulia jiwe''mwigamba' akidhani litapata joto kumbe wapii!
Mwigamba chui tena? Yeye ni jiwe lililojambiwa; linanuka; hiyo ndio kauli ya Msajili tuache kubadili maana.
 
Zitto mwelewa ndio maana hatoki,akitoka atakua kama TambweHizza,Kaburu n.k
 
Back
Top Bottom