Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

Lazima chadema wajikombe kwa zitto kwani akiondoka na chama hakipo

Katika uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa kuna sehemu yeyote ambayo Zitto alikwenda kupigia kampeni? maana CDM imepata Ushindi Mkubwa ambao haujawahi kupatikana tangu chama hiki kianzishwe tena bila ya huyo unayesema akiondoka CDM itakufa. Tambua kwa CHADEMA chama kina nguvu kuliko Kiongozi, Mwanachama au mtu yeyote Tofauti na CCM watu wana nguvu Kuliko chama na ndio maana Mmeshindwa kujivua magamba.
 
Zzk opportunist sana kaona act atakufa kisaiasa kaamua arudi CHADEMA...Nyambafu zake

Inawezekana ni kweli mkuu. Lakini siamini kama akija kuomba msamaha na kufuta kesi yake mahakamani bado chama kitatia ngumu. Siamini maana sipendi hilo litokee. CHADEMA ndicho chama pekee cha ukombozi hapa Tz lakini hakiwezi kuikomboa Tz kwa kuwatenga watz wenzao. Makosa yameubwa kwa binadamu
 
Kadi yangu bado ninayo, kama ni wazo la watu kuwa nitahamia chama fulani na libaki kuwa wazo tu,

siku za hivi karibuni kumetokea kundi la watu wasiotumia akili kujua kwamba nina kesi mahakamani na bado mimi nahitaji kuwa mbunge mpaka nimalize miezi iliyobaki, lakini wao kwa utashi wao wanaandika na kuongea sehemu nyingi kuwa mimi ni mwanachama wa act, je ikitokea chama changu chadema kikaamua kupeleka hayo maneno mahakamani wanadhani nitabakia kuwa mbunge?

watu wanadhani wannisaidia kumbe wananifanya niogope hata kuwasaidia.
hata ugomvi wao wanaoendelea nao huko kwa sasa mimi sihusiki, ikiwa watu hawataki kubadilika huwezi kuwabadilisha.
nitabaki kuwa chadema mpaka itakapoamuliwa kwa sababu naona kuna watu wanapupa za ajabu sana wanaweza kunipotezea mwelekeo

source : Whatsapp sms kutoka kwake kuja kwangu jana
 
Hapo kawapasha akina Mwigamba na kitila, kumbe anawajua tabia zaooo. Poa ZZK wapashe wasikuchanganye hao kwani ni sawa na chui aliyejambia jiwe.
 
cc to Mwalimu Kaijage
 
Last edited by a moderator:
Daaaah!!!! Zitto tafadhali. Sasa akina Mtera Mwampamba, Juliana Shonza & co watakuwa wageni wa nani? Maana kwa Madelu kule naona Mzee wa Ndovu ndo keshapiga kigingi.
 
Hapo kawapasha akina Mwigamba na kitila, kumbe anawajua tabia zaooo. Poa ZZK wapashe wasikuchanganye hao kwani ni sawa na chui aliyejambia jiwe.

wamemuharibia heshima yake kwa siasa zao za kishamba.
hata simu ya Samson Mwigamba siku hizi hapokei.
 
Back
Top Bottom