Acha mada za kipuuzi, hii post yako unataka Zitto aishiwe kutukanwa na kukashifiwa. CCM hapa walipofikia lazima watoke sio kwa Zitto kuwa cdm, cuf au Nccr, awe hai ama amekufa ni lazima ccm wang'oke. Udhaifu wa ccm na kushindwa kutekeleza matakwa ya jamii ndio sababu haswa ya ccm kun'goka na wala Sio Zitto kuwa Ukawa ama wapi. Kwani ni lazima awe ndani ya Ukawa ndio wang'oke? Anaweza kuwang'oa ccm akiwa popote kulingana na jinsi atakavyoweza kuushawishi umma kwanini awatoe ccm na ataufanyia nini umma akishawatoa ccm.
Ila wewe umekuja kiccm ili kuwaprovoke watu wajenge chuki dhidi ya Zitto kwa wewe kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Acha utoto umeshakuwa mtu mzima siasa hizi za kipuuzi peleka huko ccm kwa kina EL, Membe nk ndio wamezoea siasa za makundi na kuwekeana sifa za kijinga huku wakichafuana.
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.

Ccm imeshindwa kutatua kero na kuleta maendelo yanayohitajika nchini tangu kipindi cha mkapa lakin chaajabu bado inashinda tu!
Zitto ndiye mwanasiasa kijana mwenye mvuto kwa sasa kuwamo kwake kwenye UKAWA kutasaidia sana kuing'oa CCM kwa uraisi Kutokana na ushawishi alionao kwa kwa vijana, kwa maana hiyo tunaomba zitto aingie katika ushiriano huu kupitia CUF au NCCR huu ni muono wa vijana wengi wa nchi hii.
acha masihara, ww ni fisadi, ama mtoto wa fisadiZZK ni janga kwa taifa kama ebola na ukimwi
Katika ukurasa wa kwanza wa gazeti la Mwananchi la leo,kuna habari isemayo "Makaidi ajitolea kunusuru ndoa ya Zitto,CHADEMA". Kwenye habari hiyo inayoandikwa katika kurasa za 1 na 4, Mwenyekiti huyo mwenza wa UKAWA na NLD Emmanuel Makaidi amekaririwa akidai kuwa Zitto alimuomba kumpatanisha na Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Makaidi amedai kuwa sasa yu tayari kuanza kazi aliyoombwa na Zitto kwakuwa Mbowe anaingilika na ni mtu makini,safi na muungwana.
Lakini,Zitto alipoulizwa kuhuu hilo alikana na kusema kuwa kama kuna haja ya kufanya hivyo atakaa na Mbowe na kuyamaliza. Pia Zitto amesema kuwa asilazimiswe kuingia UKAWA kwa njia ya CHADEMA tu kwakuwa aweza kuingia UKAWA kupitia CUF,NCCR-Mageuzi au ACT-Tanzania. Alisema "Huyu mzee ni mtu ninayemheshimu sana na juhudi zake ni nzuri,lakini sijawahi kuzungumza naye kuhusu kupatanishwa na chama changu,sisi wenyewe tuna uwezo kukaa wawili na kuyamaliza,jitihada zake kwasasa hazijahitajika"
Baada ya kukana kumuomba Makaidi, Makaidi amesema " amekana huyu Bwana,haa! Tulikutana pale kantini Bungeni,aweza kukutajia namashhidiwaliokuwapo,laini mimi nilikuwa nafuatilia jinsi ykumuingia huyoBwana mkubwa wa CHADEMA na sasa naona inawezekana."
Lengo ni zuri. Lakini mkweli ni nani?
=======================
Kosa la Zitto ni kuutaka uenyekiti... kuna watu wanafikiri Mbowe yuko tofauti sana na viongozi wa Kiafrika wanaolazimisha kuongoza hata ikibidi kuua...
Ukawa ni Wachumiatumbo - Zitto Kabwe.
Zitto atuambie kama alikuwa amelewa alipotoa kauli hii...
Hata kama mzee Makaidi anaweza kuwa mkweli lakini je, alitumwa na Zitto awahusishe watu wa media au alifanya hivyo kwasababu gani? Kama alitaka kumuandaa Mbowe kisaikolojia, alipaswa kumweleza ZZK nia hiyo ambayo hata mimi siipendi. Kwa kuhusisha media, mzee aliteleza.Nashauri aepuke media na aendelee na kazi nzuri ya kiMungu ya upatanishi.Katika ukurasa wa kwanza wa gazeti la Mwananchi la leo,kuna habari isemayo "Makaidi ajitolea kunusuru ndoa ya Zitto,CHADEMA". Kwenye habari hiyo inayoandikwa katika kurasa za 1 na 4, Mwenyekiti huyo mwenza wa UKAWA na NLD Emmanuel Makaidi amekaririwa akidai kuwa Zitto alimuomba kumpatanisha na Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Makaidi amedai kuwa sasa yu tayari kuanza kazi aliyoombwa na Zitto kwakuwa Mbowe anaingilika na ni mtu makini,safi na muungwana.
Lakini,Zitto alipoulizwa kuhuu hilo alikana na kusema kuwa kama kuna haja ya kufanya hivyo atakaa na Mbowe na kuyamaliza. Pia Zitto amesema kuwa asilazimiswe kuingia UKAWA kwa njia ya CHADEMA tu kwakuwa aweza kuingia UKAWA kupitia CUF,NCCR-Mageuzi au ACT-Tanzania. Alisema "Huyu mzee ni mtu ninayemheshimu sana na juhudi zake ni nzuri,lakini sijawahi kuzungumza naye kuhusu kupatanishwa na chama changu,sisi wenyewe tuna uwezo kukaa wawili na kuyamaliza,jitihada zake kwasasa hazijahitajika"
Baada ya kukana kumuomba Makaidi, Makaidi amesema " amekana huyu Bwana,haa! Tulikutana pale kantini Bungeni,aweza kukutajia namashhidiwaliokuwapo,laini mimi nilikuwa nafuatilia jinsi ykumuingia huyoBwana mkubwa wa CHADEMA na sasa naona inawezekana."
Lengo ni zuri. Lakini mkweli ni nani?
=======================
bila kujali ID yako,naunga mkono hoja hii
Tetea kuwa UKAWA sio wachumia tumbo.