mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
ZZk mm nakupenda tatizo hii misimamo ya kikuda ndo haifai kabisa.
Mzee Makaidi ni mtu muongo sana, ni mzee mmoja mp.umbavu na wa ovyo kweli huyo mzee hupenda kuingilia mambo yasiomuhusu, matatizo ya CDM yanamhusu nini yeye.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
CHADEMA SIO MBOWE, amekihujumu chama sio MBOWE hata iweje ZZK hatumtaki CDM. Kama wanapatanishwa ni kwenye dili zao zingine kama zipo sio kuhusu CDM
.... Zito Ndo Kamuomba Ampatanishe Na Mbowe
Asingekuwa wa maana msingembembeleza arudiNaamini makaidi yuko kweli ila huyu bbwana mkubwa zitto anaona akikubali ataonekana desparate sana na anathani itamshushia hadhi. Tatizo la zitto ameshajiona mtu wa maana sana ni better kuliko wengine. Mimi nathani anajua hata kama akienda hicho chama alichokianzisha cha ACTS hatafanikiwa kama angekaa chadema. Kujenga chama si kazi nyepesi.
Huyu zitto ni matatizo ready to happen tu hata kwa CHADEMA hata UKAWA. Kwaxushauri huyu bwana mzitto aachwe aende zake huko atakapo. Tuone atafika wapi na uchu wake wa madaraka. WATU WALIO PROUD NI HATARI SANA.
zitto ndiye mkweli Kwa ni swala lake linalomuhusu moja Kwa moja.
mahoro gani usiye muelewa? ntabwenke.
zitto ndiye mkweli Kwa ni swala lake linalomuhusu moja Kwa moja.
Aipolo kwa makuzi ya watz hakuna mzee mpumbavu ondoa ujinga wako hapa.... waweza fikisha msg yako bila kumtukana mzee huyu.... kwa maneno yako hayo una tofauti gani na makonda?Mzee Makaidi ni mtu muongo sana, ni mzee mmoja mp.umbavu na wa ovyo kweli huyo mzee hupenda kuingilia mambo yasiomuhusu, matatizo ya CDM yanamhusu nini yeye.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
zito makosa yake anayajua.... mwache tu na dharau na kiburi chake... insubordination ni kosa kubwa lazima uwe delt with...... bila kutumia busara hata kama una akili kama mfalme suleiman hapa duniani utaumia tu....It's simple zitto kasema aambiwe kosa alilofanya ndipo aombe radhi kabla ya upatanisho na kurejea kundini. Acheni kuzunguka mwenye evidence ya nini hasa kosa a lilo fan ya aweke hapa. Hii ndio njia mwafaka ya maridhiano ya kweli na itamsaidia yeye na wanachama wengine siku za usoni
It's simple zitto kasema aambiwe kosa alilofanya ndipo aombe radhi kabla ya upatanisho na kurejea kundini. Acheni kuzunguka mwenye evidence ya nini hasa kosa a lilo fan ya aweke hapa. Hii ndio njia mwafaka ya maridhiano ya kweli na itamsaidia yeye na wanachama wengine siku za usoni
Tuna tatizo na wanasiasa "mkumbo!" au "bendera fuata upepo" wao kazi yao ni kufuata tuu misimamo ya vyama!, hawa mimi nawaita wanasiasa ma "ignorants!", Zitto ni miongoni mwa wanasiasa wachache ambao ni ma realist!, bunge lilipoteza muda mwingi sana katika "drafting" tuu ya azimio lile, Change ni mmoja wa wazoefu wakubwa wa "legal drafting", pendekezo alilolitoa yeye ndio was the best na ndilo hatimaye limekuja kutumika!, wanasiasa na ignorants tuu ndio walipiga pendekezo la Chenge simply because ni mtuhumiwa!. Jee pendekezo hilo hilo liliporudishwa kwenye maazimio ya mwisho, mijitu mijinga ile ile iliyopinga mwanzo, ikapiga makofi na kushangilia!, huu kama sio ujinga ni nini?!.Si Mnakumbuka Alivyounga Mkono Hoja Ya Chenge Na Kuwaacha Wenzake Njia Panda, Huku Kafulila Akibaki Anapayuka Tu Akisema "Hata Wewe, Hata Wewe....
Waandishi wa Habari wa Tanzania wanashida sana.Kwa takwimu zilizopo ni kuwa Zitto ana mgogoro na taasisi iliyokatika mfumo wa chama cha siasa. Taasisi hiyo inaitwa CHADEMA. Kupatanishwa Zitto na Mbowe hilo nalisikia leo , sikujua kama wana mgogoro.
==================================================================================
Mwenyekiti huyo mwenza wa UKAWA na NLD Emmanuel Makaidi amekaririwa akidai kuwa Zitto alimuomba kumpatanisha na Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Makaidi amedai kuwa sasa yu tayari kuanza kazi aliyoombwa na Zitto kwakuwa Mbowe anaingilika na ni mtu makini,safi na muungwana.
Lakini,Zitto alipoulizwa kuhuu hilo alikana na kusema kuwa kama kuna haja ya kufanya hivyo atakaa na Mbowe na kuyamaliza. Pia Zitto amesema kuwa asilazimiswe kuingia UKAWA kwa njia ya CHADEMA tu kwakuwa aweza kuingia UKAWA kupitia CUF,NCCR-Mageuzi au ACT-Tanzania. Alisema "Huyu mzee ni mtu ninayemheshimu sana na juhudi zake ni nzuri,lakini sijawahi kuzungumza naye kuhusu kupatanishwa na chama changu,sisi wenyewe tuna uwezo kukaa wawili na kuyamaliza,jitihada zake kwasasa hazijahitajika"