Makahaba toka Afrika wang'aa INDIA+CHINA

Dada zetu toka Afrika wametumia fursa zilizopo India na Uchina kutengeneza pesa ndefu nimefika hapa New Delhi kuzama chocho nakutana na Dada wa kibongo wanalonga kiswahili change migomigo kabisa daah.

Kuna maeneo panaitwa Saket, ndiyo makazi yao makuu!! Nilikutana na lidada la South Africa likubwa hilo!! Nahisi lina urefu futi saba na upana wa kutosha, kalio lake moja pekee simba watano wanashiba, ningekuwa na interest na machangu siku hiyo ningedaka hilo nikatest mitambo!!
 
Na kuna Malaysia. Wakiondoka bongo utasikia naenda chuo ila hauwaoni darasa wala graduation. Na wateja wao wakubwa ni wapopo
Yea mkuu...malaysia piaa na thailand....wengi wakienda kule wanajifanya ni ma agent wa kutuma mizigo....khy ukiwa ukitaka kununua bidhaa yoyote unamtumia yeye...lakin ukwel ni kuwa wanafanya hivyo km cover ya kufanya umalaya
 
Kuna maeneo panaitwa Saket, ndiyo makazi yao makuu!! Nilikutana na lidada la South Africa likubwa hilo!! Nahisi lina urefu futi saba na upana wa kutosha, kalio lake moja pekee simba watano wanashiba, ningekuwa na interest na machangu siku hiyo ningedaka hilo nikatest mitambo!!
Mkuu wewe ni mkali.
Karibu na shule ya Gyann Bharat...au!?
 
Kuna maeneo panaitwa Saket, ndiyo makazi yao makuu!! Nilikutana na lidada la South Africa likubwa hilo!! Nahisi lina urefu futi saba na upana wa kutosha, kalio lake moja pekee simba watano wanashiba, ningekuwa na interest na machangu siku hiyo ningedaka hilo nikatest mitambo!!
Ahahaa huyu dada ni hatare sana na anafahamika sana huko....
 
Dada zetu toka Afrika wametumia fursa zilizopo India na Uchina kutengeneza pesa ndefu nimefika hapa New Delhi kuzama chocho nakutana na Dada wa kibongo wanalonga kiswahili change migomigo kabisa daah.
Hata huyu amber mjinga sana angeenda huko au US kucheza porn
 
Back
Top Bottom