Makada wa CCM hawakupaswa kuteuliwa kuwa Wakurugenzi wa wilaya wala DAS maana wengi wao ni wezi

Hahahaaaa...........!

Lete vyeti vyako bwashee tukupe shavu..........si unawaona wenzako akina Katambi!
John, vyeti vyangu huviwezi, nilimaliza UDSM 1986! Faculty of science (kulikuwa na heshima kubwa pale, chuo kikiwa kimoja tanzania!) . Ulikuwa hujazaliwa, may be na hao......//// Kitambi siyo mwenzangu, hao ni chekechea na vidudu!
 
Nakumbuka wakati ule walikuwa wanasema practically wanafunzi wa Dar tech na Arusha tech ni bora kuliko nyie wa Mlimani.

Hata kwa masomo ya akina "dada"....... Mzumbe na diploma zao walikuwa bora kuliko Udsm.

Pale Mlimani zilijaa mbwembwe tu na kubakia na historia ya kuwa chuo kikuu pekee duniani wanafunzi wake kuwahi kuchapwa viboko kama primary school!

Hahahaaaa........ Mrejesho tafadhali!
 
Weledi siyo kigezo tena cha kupewa nafasi nyeti kama hizo za uDED, uRAS bali Ukada wa Chama na uwingi wa kumwaga sifa na kuimba mapambio ya kumtukuza Jiwe.
Jiwe anawatumia hao kama nguzo yake ya kutawala nchi kama kampuni binafsi ya mfukoni wala hajali consequences za kujaza makada badala ya wataalam
 
Back
Top Bottom