Kama ni kweli maDED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,027
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
 
Ni kweli Dkt Magufuli alidhani ma kada wana uchungu na nchi basi watalinda rasilimali na kuwa wakali kwa sababu wanatekeleza ilani, ila ikawa kinyume chake, wizi, fitina, uongo, na kujitafutia umaarufu vikatawala. Rais Samia namshauri sana tena asikie, mkeka mpya ujae ma afisa mipango maana hao ndiyo wanajua maana halisi ya kutekeleza ilani ya uchaguzi, wanajua miradi na usimamizi wake, etc.
 
Tujikite kuangalia wapi tunapoelekea na sio wapi tulipotokea.

Magufuli alikuwa binadam kama wewe na mimi. Alipochagua hao makada kuongoza hizo sehemu, hakutegemea kama hayo madudu yangetokea. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu" na pia "siri ya mtungi ijuae kata".

Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki. Haina maana yoyote mkuu.
 
Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki.
1. Wateuliwe ma Afisa Mipango etc, yaani ule utaratibu wa zamani urudi
2. Risk management framework ipewe kipaumbel
3. Fraud risk management pia iwe priority
4. Waajiliwe internal auditors wakutosha (iwe lazima kuwa certified internal auditors)
5. Wahasibu wawe CPA hasa wakuu wa idara wote
6. Elimu ya mgawango wa madaraka itolewe etc
 
Tujikite kuangalia wapi tunapoelekea na sio wapi tulipotokea.

Magufuli alikuwa binadam kama wewe na mimi. Alipochagua hao makada kuongoza hizo sehemu, hakutegemea kama hayo madudu yangetokea. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu" na pia "siri ya mtungi ijuae kata".

Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki. Haina maana yoyote mkuu.
Hatujadili mtu bali Mfumo aliotuachia na mapungufu yake!
 
1. Wateuliwe ma Afisa Mipango etc, yaani ule utaratibu wa zamani urudi
2. Risk management framework ipewe kipaumbel
3. Fraud risk management pia iwe priority
4. Waajiliwe internal auditors wakutosha (iwe lazima kuwa certified internal auditors)
5. Wahasibu wawe CPA hasa wakuu wa idara wote
6. Elimu ya mgawango wa madaraka itolewe etc
Unadhani wahasibu wanaoiba hawana CPA?
 
1. Wateuliwe ma Afisa Mipango etc, yaani ule utaratibu wa zamani urudi
2. Risk management framework ipewe kipaumbel
3. Fraud risk management pia iwe priority
4. Waajiliwe internal auditors wakutosha (iwe lazima kuwa certified internal auditors)
5. Wahasibu wawe CPA hasa wakuu wa idara wote
6. Elimu ya mgawango wa madaraka itolewe etc
Nimekuelewa vizuri mkuu, ndio maana nikashauri tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine. Na moja wapo naona ndio hii uliyoandika hapa 👍
 
Tujikite kuangalia wapi tunapoelekea na sio wapi tulipotokea.

Magufuli alikuwa binadam kama wewe na mimi. Alipochagua hao makada kuongoza hizo sehemu, hakutegemea kama hayo madudu yangetokea. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu" na pia "siri ya mtungi ijuae kata".

Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki. Haina maana yoyote mkuu.
Tutajifunzaje Sasa bila kujadili yaliyopita!?
 
... inaposemwa mfumo uliopo ni wa kishenzi huwa haieleweki! Inaposemwa Katiba iliyopo inatoa madaraka ya kimungu kwa mamlaka huwa haieleweki?

Inaposemwa inahitajika Katiba Mpya yenye uwezo wa ku-regulate haya mambo chizi moja linalolishwa kwa kodi za wananchi tumbo kama tembo linaropoka hadharani likiwa limetokeza kichwa juu ya VX V8 eti "Katiba Mpya haitaleta ugali mezani" halafu kama mazuzu mnashangilia! Matokeo yake ndio kama hivyo.
 
Tujikite kuangalia wapi tunapoelekea na sio wapi tulipotokea.

Magufuli alikuwa binadam kama wewe na mimi. Alipochagua hao makada kuongoza hizo sehemu, hakutegemea kama hayo madudu yangetokea. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu" na pia "siri ya mtungi ijuae kata".

Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki. Haina maana yoyote mkuu.
Hao ni CHAWA wanajifariji.

Ni miaka 2 sasa na tumempongeza mama. Tumuombe atimue makada wote. Ateue senior Officers wanaoujua vizuri Utumishi wa umma.
 
1. Wateuliwe ma Afisa Mipango etc, yaani ule utaratibu wa zamani urudi
2. Risk management framework ipewe kipaumbel
3. Fraud risk management pia iwe priority
4. Waajiliwe internal auditors wakutosha (iwe lazima kuwa certified internal auditors)
5. Wahasibu wawe CPA hasa wakuu wa idara wote
6. Elimu ya mgawango wa madaraka itolewe etc
Hiyo ya wakuu wa Idara wote kuwa wahasibu hapana.
 
Back
Top Bottom