Makada wa CCM hawakupaswa kuteuliwa kuwa Wakurugenzi wa wilaya wala DAS maana wengi wao ni wezi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,541
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.

Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani

Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Ni haki yao kuiba. Kama mliambiwa CCM waliiba mpaka nchi ikafikia kuwa mkiani kwa umaskini, kisha mkaichagua CCM, huwa mnataka nini. Umeambiwa huyu ni mwizi, kisha unamkabidhi funguo za nyumba. Kesho yake unakuta TV na pesa hakuna, kisha unalalamika..... HUO NI UPUMBAVU
 
Bora umeamua kuongea. Sio mara moja au 2 nasema Magufuli sio rais mzuri bali ni rais aliyejikita katika miundombinu. Leo hii anachezea box la kura ili ccm ibaki pekee yake bila kujua leo ccm wanamsifia ili wakae madarakani kisha kukosekana wapiga kelele, anaonekana hajui kwamba mchezo anayoifanya ya kuua mfumo wa kuhoji hapa nchini ni kwamba anapandikiza cancer kwenye nchi. Wanacdm hawapo kizalendo bali wana mahesabu tofauti sana, Nyerere mwenyewe alijua kosa alilolifanya kwa kuifanya ccm kuwa na nguvu isiyo na udhibiti iliyochangia nchi hii kunajisiwa na ccm. Hata huyo waziri mkuu huko alipo ni kama anapoteza muda tu, akipita upigaji unaendelea maana mifumo imekufa umebaki utawala wa mtu.
 
Kwani huu utaratibu wa kuwaweka makada kuwa watendaji wakuu wa idara za serikali umeanza lini, au na wenyewe wanakuwa wamepanda hizo ngazi za ajira na kuwa maafisa waandamizi.
 
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.

Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani

Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Alafu Mwigulu yupo busy tweets kubishana na Zitto na kurusha mipicha ili Jiwe amrudishe kundini.Eti naye phd holder,what a joke.
 
Ndiyo maana watanzania wenye akili timamu, tutaichukia ccm milele! Wengi wa wanachama wake, wapo kimaslahi zaidi na hawana hata chembe ya uzalendo wa kweli.
 
Huko CCM kila mwanachama anahitaji kiti cha maungamo kuanzia mwenyekiti.
 
Kwani huu utaratibu wa kuwaweka makada kuwa watendaji wakuu wa idara za serikali umeanza lini, au na wenyewe wanakuwa wamepanda hizo ngazi za ajira na kuwa maafisa waandamizi.
Soma vizuri, kwani u DED, nao huwa ni professional hadi wawe wanapanda ngazi? Hivyo ni vyeo vya sanda kalawe tu kwa lumumba fc, mwenye kudaka adake!! Zamani ndio ilikuwa sio cheo cha ukada, bali ilikuwa ni kwa mtu anayeweza kazi tu,
 
Ni haki yao kuiba. Kama mliambiwa CCM waliiba mpaka nchi ikafikia kuwa mkiani kwa umaskini, kisha mkaichagua CCM, huwa mnataka nini. Umeambiwa huyu ni mwizi, kisha unamkabidhi funguo za nyumba. Kesho yake unakuta TV na pesa hakuna, kisha unalalamika..... HUO NI UPUMBAVU
Ukijua maana ya kirefu cha CCM hakuna kinachoshangaza chini ya jua...
 
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.

Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani

Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Nyote ni wale wale including you!
 
CCM hii raha sana. Kuna wale wakimbiza mwenge wanatembea na masururu ya kupima kiwango na ubora wa lami. Ha ha haaa, yaani lami inapimwa ubora kwa kuchimbwa na sururu? CCM raha sana hasa unapokuwa kwenye kiwango cha juu cha kujipendekeza.
Kuna kasichana ka Kichagga kako kule Twiter na Facebook kila siku kazi yake kumtukana Mbowe na Lissu ili angalau achaguliwe lakini mpaka sasa holaaa. Mpaka nakaonea huruma. Kameamua mpaka kutukana ndugu zake kisa CCM angalau wakaone ila nashukuru Mungu sio Athumani wala Paulo.
 
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.

Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani

Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
aliyewateuwa alizani wataishia tu kuiba kura za wapinzani kumbe wanaiba hadi mali ya umma.
 
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.

Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani

Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!

Unachosahau ni dhumuni na nia ya makada kuwepo hapo kuw ani UCHAGUZI, MACCM sikuzote yanawaza Uchaguzi tu, Kama wakurugenzi wasingekuwa wanasimamia uchaguzi hakika, wasingejazwa hapo makada.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom