johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
Hahahaaaa....... Naona mwenyekiti wa CCM mkoa kachachamaa kweli kweli ufisadi kufanyika jimboni kwa Mwigulu!Umemchomekea Mwigulu aseee.
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.
Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani
Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Alafu Mwigulu yupo busy tweets kubishana na Zitto na kurusha mipicha ili Jiwe amrudishe kundini.Eti naye phd holder,what a joke.Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.
Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani
Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Soma vizuri, kwani u DED, nao huwa ni professional hadi wawe wanapanda ngazi? Hivyo ni vyeo vya sanda kalawe tu kwa lumumba fc, mwenye kudaka adake!! Zamani ndio ilikuwa sio cheo cha ukada, bali ilikuwa ni kwa mtu anayeweza kazi tu,Kwani huu utaratibu wa kuwaweka makada kuwa watendaji wakuu wa idara za serikali umeanza lini, au na wenyewe wanakuwa wamepanda hizo ngazi za ajira na kuwa maafisa waandamizi.
Ukijua maana ya kirefu cha CCM hakuna kinachoshangaza chini ya jua...Ni haki yao kuiba. Kama mliambiwa CCM waliiba mpaka nchi ikafikia kuwa mkiani kwa umaskini, kisha mkaichagua CCM, huwa mnataka nini. Umeambiwa huyu ni mwizi, kisha unamkabidhi funguo za nyumba. Kesho yake unakuta TV na pesa hakuna, kisha unalalamika..... HUO NI UPUMBAVU
Nyote ni wale wale including you!Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.
Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani
Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...........!Nyote ni wale wale including you!
aliyewateuwa alizani wataishia tu kuiba kura za wapinzani kumbe wanaiba hadi mali ya umma.Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.
Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani
Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Katika kitu ambacho tangu awali nilijua kitakuja kutia doa nia nzuri ya serikali ya awamu ya 5 ni uteuzi wa makada wa CCM kuwa watumishi wa serikali.
Duniani kote sifa kuu za mwanasiasa ni ghiliba, unafiki na dhuluma hivyo unavyompa uded kada wa chama cha siasa ni lazima utegemee kukutana na hayo anayokutana nayo mh Waziri mkuu Majaliwa katika ziara zake za mikoani
Hebu fikiria katika jimbo la Waziri wa mambo ya ndani mstaafu Dr Mwigulu Nchemba wanaume wamefisadi zaidi ya sh 400 mil za ujenzi wa Zahanati.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
aliyewateuwa alizani wataishia tu kuiba kura za wapinzani kumbe wanaiba hadi mali ya umma.