aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,492
- 21,055
Ila kuna wafugaji wengine wako safi kabisa mzee mwenzangu, mfano ni Lowasa, ni kutoka ndani ya jamii hizo hizo za wafugaji, Au na yeye ananuka maziwa mzee mwenzanguHahaaaaa
Usinambie na wewe ni jamii hiyo!! Sio kosa lako kwakuwa hukujiumba ila kwa aina ile ya ustaarabu hapana aseeeee daaaah! Mishipa ya fahamu za walau kajiaibu ka kibinadamu ilishakata yoote


