Makabila Ya Wafugaji ni Shida.

Makabila Ya Wafugaji ni Shida.

Ngoja niamke endeleeni kuponda wasukuma
FB_IMG_15486872715312431.jpeg
 
Hiyo safari ya lfakara ndio balaa, jamaa walipanda ndani ya bus na kitu inaitwa pepeta kama sijakosea- ni wanatafuna ile hadi unabaki unawashangaa na vijigalon vya maziwa ya mgando sasa wakianza kujamba woooiiiii!! Yaan hadi kizunguzungu kinakushika daah! Unaanza kuhisi labda kuna mtu kanya kabisa aiseee wale jamaa ni hapana
Hhahahahahahahahahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enheeeee...sasa imagine watu wana debe zima la pepeta wanatafuna bila kukoma na makelele yao yakiendelea , nyingine zimetapakaa pembezoni mwa midomo hadi kichefuchefu, mbaya zaidi uwe umekaa jirani nao ndio utanyeshewa mvua ya mimate hadi utatamani mwavuli.

Ni jamii ya aina yake aseeeee
Eti mimate😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom