Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 31
Hi wana JF.
Nimeona nilete mada hii hapa mbele yenu baada ya kukutana na mtanzania mwenzangu na kusema kabila lake ni moja wapo ya "endangred species" maana yake wapo labda chini ya 1,000.
So nimeona nije na mada HIi ambayo lengo lake ni kujadili kabila moja hadi jingine katika mtiririko ufuatao
1.Jina la kabila na asili yao
2. Organisation yao kwa maana mfumo wao wa utawala ulikuaje au ukoje kwa sasa
3. Idadi yao, sehemu wanakopatikana ni mtawanyiko katika nchi
4. Mila na desturi zao
5. Mafanikio waliyowahi kuyafikia
5. Pamoja na mambo mengine muhimu yanayohusu jamii husika, prominent figures kama zipo.
Kwanza nitaanza kwa kutoa list ya makabila yote yanayopatikana Tanzania then kila siku nitakuwa naweka walau kabila moja