Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

kichuri ni kichungu balaa, hicho kilinishinda kabisaaa, pia hawa jamaa wanapenda sana ugali wa udaga, kingine walichonishangaza ni tamaduni zaz kwenda kuoga ziwani familia nzima wanaenda kuoga, baba, mama na watoto wanavua nguo na kubaki uchi wa mnyama bila kujali kuwa yupo na watoto hata kama ni wa jinsia tofauti

Hao ni wajita sisi hatuchangamani na wanawake wakati wa kuoga
 
okay, nakumbuka siku hiyo tulienda pembezoni mwa ziwa maeneo ya makoko, tukakuta wanaogelea wengi wake kwa waume, ujio wetu waukuwashtua wala kuwazuia kuendelea kuogelea, nikamwuliza mwenyeji wetu hawa wanawake hawaoni aibu kuvua nguo mbele yetu na kubaki uchi, yule jamaa akaniambia pale iweje wanionee aibu mm wasiyenifahamu wakati wapo na watoto wao hawaoneani aibu?
 
kichuri ni kichungu balaa, hicho kilinishinda kabisaaa, pia hawa jamaa wanapenda sana ugali wa udaga, kingine walichonishangaza ni tamaduni zaz kwenda kuoga ziwani familia nzima wanaenda kuoga, baba, mama na watoto wanavua nguo na kubaki uchi wa mnyama bila kujali kuwa yupo na watoto hata kama ni wa jinsia tofauti
Hawa labda wajita lkn wakurya baba na bintiye au mama na kijana wake wa kiume wana distance isiyo ya kawaida hata kula pamoja hawawezi sembuse kuoga pamoja
 
okay, nakumbuka siku hiyo tulienda pembezoni mwa ziwa maeneo ya makoko, tukakuta wanaogelea wengi wake kwa waume, ujio wetu waukuwashtua wala kuwazuia kuendelea kuogelea, nikamwuliza mwenyeji wetu hawa wanawake hawaoni aibu kuvua nguo mbele yetu na kubaki uchi, yule jamaa akaniambia pale iweje wanionee aibu mm wasiyenifahamu wakati wapo na watoto wao hawaoneani aibu?

Aliye kuambia wakurya wanakaa Makoko ni nani?

Umeambiwa wakurya wanapatikana Tarime na Serengeti, kuna ziwa huko?
 
Wanawake wanaoa wanawake wenzao.

Vipi wanaume, nao wanaoa wanaume wenzao?

Ulishaambiwa hakuna mkurya shoga.

Mwanamke huoa mwanamke meenzake pale anapokuwa hajazaa mtoto wa kiume au hajazaa kabisa.

Lengo ni kumzalia watoto aendeleze familia.

Huyo mwanamke anaeolewa anakuwa huru kuwa na mtu yeyote ila watoto watakao zaliwa ni mali ya muoaji.
 
  • Thanks
Reactions: mps

acha jazba zisizokuwa na maana hapa tunaelimishana tu, sasa wewe hapo umeandika nn?
 
Back
Top Bottom