Huko Pwani nimesoma na wasichana (sasa akinamama) wawili,mmoja Dharau sur name yake Elimu hivyo jina kamili Dharau Elimu,mwingine anaitwa Siwengine Surname Walewale,yaani Siwengine Walewale!
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya